SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

haya sasa niambie ni fly over gani hata moja tuu ipo hapa kwetu, jam tuu kila sehemu. najua wengine mtasema mimi ni ukuta but to be honest kunamambo tunatia aibu, haswaa katika elimu .
 
haya sasa niambie ni fly over gani hata moja tuu ipo hapa kwetu, jam tuu kila sehemu. najua wengine mtasema mimi ni ukuta but to be honest kunamambo tunatia aibu, haswaa katika elimu .
Pole boss, ila hapa sio mahala pa kulalamikia anyway.
 
Wenzako wewe na nani?
 
Mkuu,
Hebu weka justification hapo kwenye kilimo
Ni mwezi tu umekwisha tangu tumewapelekea kenya chakula baada ya ukosefu mkubwa wa chakula nchini mwao .
Au maana yako ilikuwa nini?

bwana wee!! mmewapelekea my gosh! msaada vile kulingana wewe! wale wana biashara wanauza huku kwetu kenya kaka! Uganda pia wanabiashara wanauza kwa wingi! Hizo finished products zimezagaa hapo bongo tunawapa msaada!!! Its business fellow no feelings attached!

na kilimo we making steps to get the damn maize grown. ole wao wanabiashara wa tz na uganda when we become self sufficient!

Galana Kulalu Food security Project on the 10,000Acre model farm



2000 acres under Maize and with addition of pumps & centre pivots will achieve greater acreage







Inspecting the one week old maize crop under production







Inspecting the 3 weeks old maize under production







Fresh planted maize under production & clearing of stones by locals







Impressed with Punda Milia seed variety that promises better yield harvest







 

we are trying buddy. yeye haelewi hapa ni biashara hamna feelings! wale wakulima wa Tz wanauza mahindi huku kwetu keshowe iwe hatuitaji tena nani wakumia! kwake ni msaada vile lakini ni elimu hana!

Galana Kulalu Food security Project on the 10,000Acre model farm



2000 acres under Maize and with addition of pumps & centre pivots will achieve greater acreage







Inspecting the one week old maize crop under production







Inspecting the 3 weeks old maize under production







Fresh planted maize under production & clearing of stones by locals







Impressed with Punda Milia seed variety that promises better yield harvest







 
Mkuu,
Hebu weka justification hapo kwenye kilimo
Ni mwezi tu umekwisha tangu tumewapelekea kenya chakula baada ya ukosefu mkubwa wa chakula nchini mwao .
Au maana yako ilikuwa nini?
we completing two fertilizer making plant this year one in nakuru county and eldoret county. we making strides


nakuru
 
Bomba letu la mafuta limekwisha jengwa au bado tusubiri wiki mbili?
 
Ni thamani na siyo samani, samani ni vifaa vya ndani kama meza, kiti n.k. rekebisha hilo kwanza halafu ndiyo urudi, isitoshe unaongelea vitu viwili tofauti na nina wasi wasi hata umeelewa nilichomaanisha!
Lakini si umeelewa? Kama hujaelewa uliwezaje kurekebisha? Au huna jibu na hilo suali?
 
Waltham,
Firstly, congratulations for that move. Ni hatua nzuri kwakweli ambayo nadhani ikifanyika hapa Tz hasa kule Dodoma kwenye mahekari ya mapori ya virgin fertile land basi Tz itakuwa ni level nyingine, but kwa sasa hatuhitaji such projects maana tunajitosheleza kwa chakula na tuna akiba ya kutosha, na bado hatua soko la kueleweka,

Na kwa uwekezaji wa hiyo project, besides the fact that it wont cut your maize deficit, ni obvious those maize will be very expensive, and you may come back to tz for cheap maize. (Sisi hatutumii gharama kubwa kulima mahindi ndiyo maana tunawauzia kwa bei ya kisela)
Again I am very Hapy that you guys will come here for raw materials (hydrocarbons) kwa hiyo kiwanda yenu ya mbolea.. As you are aware tz have more than 60bn tcf natural gas deposits, n explorations suggest more hundreds of thousands tcfs underneath..or u will buy cheap fertilizers from our plant being built in Lindi.(Largest fertilizer plant in Africa)
Karibuni sana tufanye biashara..

Kwaiyo brother kutegemeana kwetu kuko pale pale boss, there is no way u Kenyans will run away from tz.

When it comes to agriculture,
We are your brothers, and we will always be,
Na usidhani tunauza mazao yetu Kenya tu,
We are exporting to Zambia, Congo Malawi pia..n.k
Fahamu 80% ya watz are farmers, huku kilimo ni utamaduni wetu, whether we make profit or loss, we will cultivate the Land,
Yaani huku kila mtu ni mkulima ndio maana food security ni uhakika.
Mimi binafsi kila msimu ni Lazima niandae ekari 10 za mahindi na mbili za mbogamboga..
Kwa sababu ardhi tunayo ya kutosha..

Yaani nakwambia huku Tz ukifika msimu wa mazao huwa ni vurugu, watu wanajaza maghala hadi wanaacha mazao nje.

Hebu ona hawa wanavijiji wa kipato cha chini tz, toka vijijini mkoani iringa wakijishughurisha na kilimo cha mahindi..



Sasa hawa wakulima (subsistence) ni karibu kila kaya katika vijiji vya mikoa ya Iringa, mbeya, rukwa, katavi, songea na Morogoro, na mikoa mingine ya Tz....imagine the output..


I know you know this guy..
Former Prime Minister Mizengo Pinda Akiwa shambani kwake Sumbawanga..

Tazama mavuno ya huyu bwana Pinda.


Dear Kenyans, any time you run out of food , karibuni tu, we are brothers.
 
Halafu utakuwa umeona huo udongo hapo kwenye mashamba

Kuanzia color, texture, structure,
Yaani ni udongo ulio na content kubwa ya organic matter,
Rich in essential elements like Nitrogen, Phosphorus and Potassium.
A reason why we tz are the luckiest people on earth, you can bury anything without fertilizer and it germinates above the ground..
And a reason why our maize and other cereals are cheap for you guys,
Yafaa mjivunie sana ujirani wetu kwa kuwa tunawafaa kwa mengi,
Sio Kina MK254 wanatokwa mapovu kila siku juu ya tz,
Wanasahau kufikiria kama mngezungukwa na hao wahabeshi, na wasudani, na wasomali.
Sijui mngeishije nyie jamaa.
 
Sawa Watanzania tuna miradi yetu hatujarithi kwa wakoloni. Lakini mbona pesa ya Kenya ina samani zaidi yetu?
Pesa ya Kenya inakuwa na thamani kwa sababu wazungu ndio wanaondesha nchi na Wakenya ni wasindikizaji wa uchumi. Miradi yote ni ya Wazungu hata ayo makampuni ni wazungu na hata mradi wa kulima Chai na maua ni wazungu. Wakenya ni wasindikizaji na wabeba mizigo ya wazungu (Manamba) katika mashamba ya wazungu
 

no time for stone age brains here, there are very intelligent tz guys engaging in substance debate!! akili za vijiweni na weka kando!!!!
 

You wrote a lot, let sieve thru the words as you know numbers don't lie. could you please give the Tz Gross margin returns per acre of maize!!!

Kenya has a deficit of 20 million bags annually and NIB general manager Daniel Barasa believes that 200,000 acres of land under maize would be enough to bridge the deficit and slash imports from Uganda and Tanzania.

“By cultivating 250,000 acres of Galana Kulalu complex, we would have met 41 per cent of the country’s annual maize consumption of 48 million bags, hence providing enough maize to bridge the deficit,” said Mr Barasa.
source: Business daily kenya

Phase two of the project, which will cover 200,000 acres will commence as soon as a mega dam is completed to irrigate the first crops on the 500,000 acres, while phase three is expected to put 300,000 acreage to use.

It is estimated that large-scale production on the farm will start in the next three years after NIB secures Sh250 billion for the construction of a dam and other infrastructural amenities such as roads, airports and offices.
 
Watanzania wao si wamewapa wachina miradi yao hawa wachina hawawezi kuikuza fedha yao? Na haya ulioongea umefanya utafiti wapi?
 
Watanzania wao si wamewapa wachina miradi yao hawa wachina hawawezi kuikuza fedha yao? Na haya ulioongea umefanya utafiti wapi?
Wakenya wataendelea kutegemea misaaada ya mahindi kutoka Tanzania. Mahindi ambayo apa Tanzania tunalisha nguruwe, Wakenya tunawapa kama misaaada ili wasije wakafa na njaa
 

Naona kwenye mitandao mnaongea kuhusu UKUTA, yaani kila nikiona chochote kuhusu Tanzania kinanikumbusha mahali nchi yetu ilikua miaka 20 iliyopita. Mpo mbali sana aisei. Mjikomboe kwanza ndio mje kujadili na Wakenya maana level yenu bado sana.
Sisi tuliyafanya hayo ya UKUTA miaka 20 ileeeeeee!!!!! Leo hii tunajivunia matunda ya kuwa na nchi iliyoboreka katika kila nyanja.
 
Wajameni Haya maneno yanatuumiza mkuu ,uwe unayasema kwa upole ,[emoji3] mbona nasikia huko kwenu Sijui kuna watu wanajiita jina la huyu wa kwetu ?
 
Wakenya wataendelea kutegemea misaaada ya mahindi kutoka Tanzania. Mahindi ambayo apa Tanzania tunalisha nguruwe, Wakenya tunawapa kama misaaada ili wasije wakafa na njaa
Duh! haya uliyoandika yamenikumbusha ile movie ya Angelina Jolie alipokwenda na muafrika kwenye kikao ya wazungu, na yule muafrika kurushiwa ndizi. Huhisi kama unawadharau weusi wenzio tena majirani zako? Hata vitabu vya dini vimesema tuwakarimu majirani zetu, Tujitahidini kama waafrika tuwe na maisha bora na sio kuwa na dharau bora.

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Samahani mkuu,
At meantime we don't have data,
We only have food.
Just keep your unreliable data.. (u know it)
Your guys are untrustworthy, u cook and manipulate the way u can just to make graphs impressive..hehehe.
Wakati people in turkana don't need those numbers but food.
anyway , nikipata those numbers I will bring.
 
Ni msahaulifu sana wewe jamaa,
Umeshasahau juzi tu mmekanyagwa vichwani na kuburuzwa na wenzenu kuuawa na polisi wenu??
Halafu siasa gani hizo za Kenya?
Hizo siasa za corruption na ukabila?
mnasema mmepata katiba mpya, inayowafanya mafisadi kutumia hovyo public funds hadi kupelekea mnakimbizana na naijeria kwenye corruption index,
Hehehe, once again you are the champions,

Naombea sana uchaguzi wenu uende vizuri, maana kwa hiyo mihemko yenu na hurka za Shari huenda mkarudi kwenye Dark ages tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…