SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

Kenya tunatumia barabara kufika Uganda na ninyi mnatumia meli kukimbizana na sisi?
Hahahaha, hujui biashara nyamaza, hakuna mfanyabiashara atakeyesafirisha Container zake kwa barabara kama kuna reli inafanyakazi kwa ufanisi.
 
wewe usiyejua kuwa kwa barabara unatumia cost zaidi na unabeba mzigo kidogo kulinganisha na meli...Tatizo lako nikuwa hujawai kufanya biashara ya export na import..🤣🤣🤣 Sijui wa Kenya huwa mnafeli wapi kwenye ufikili...🤣🤣🤣
Tangu lini meli ikabeba mizigo mengi kushinda malorry yanayotumia barabara?
 
Hahahaha, hujui biashara nyamaza, hakuna mfanyabiashara atakeyesafirisha Container zake kwa barabara kama kuna reli inafanyakazi kwa ufanisi.
Hizo meli zenu mbili zitasafirisha container ngapi kwa siku? Unajiona wewe ndio unajua biashara. Mnahitaji meli ngapi ili kunyang'anya Kenya biashara? Unajua Uganda inaimport containers ngapi kwa siku? Hizo meli zenu mbili zitaweza kazi? Sijui kwa nini huwa napoteza muda wangu kuargue na watu hawaelewi haya mambo.
 
mpango ni kuwepo nne kwa wakala wa meli Tanzania kila moja ikibeba wagons 49 kwa trip! so 49*4= 196 containers na in 24 hrs hizi meli zinaweza kupiga go-return-go inamana trip mbili! so 196*2= 392 containers ambazo ni sawa na trucks 196 (a truck+trailer) kwa siku! Hapo kuna zile containers zinazotumia barabara kupitia Bukoba-Masaka-kampala! I can just assure u by 2025 tunagawana cargo mzee 50:50! halafu kuna mradi wa SGR kupitia Bukoba-Masaka-Kampala pia
 
Kumbuka train moja inabeba containers 500, inachukua masaa 10 tu kufika Mwanza, kwa bei nafuu na usalama ni 100%. Hata kama hapo Mwanza yatasubiri kwa siku 4.

Huwezi kulinganisha na barabara toka Mombasa hadi Malaba ni siku 4, Usalama njiani ni 60% na gharama ya kusafirisha ni almost twice.
 
Kwa hivyo unadhani Kenya hatuwezi kushusha bei ya transportation? Sisi ni monopoly kwenye usafirishaji wa mizigo za UG ndio maana tunaweza kupandisha bei tatakavyo. Ila mkileta compe basi sisi nasi tunashusha bei kishenzi.
 
Kwa hivyo unadhani Kenya hatuwezi kushusha bei ya transportation? Sisi ni monopoly ndio maana tunaweza kupandisha bei tatakavyo. Ila mkileta compe basi sisi nasi tunashusha bei kishenzi.
Thubutu na deni la Mchina mtamuachia nani? Sisi ndo tuna room ya kucheza na transportation costs tutakavyo maana we r not cornerned/stuck with debt service obligation of 49% of our government budget allocation!

As a matter of fact even when we charge same price as urs we beat u by far considering our SGR is electrical (to be sourced from JNHPP at 6cent from current 10 cent per unit) n to cruise at 160km/h !
 
Kwa hivyo unadhani Kenya hatuwezi kushusha bei ya transportation? Sisi ni monopoly kwenye usafirishaji wa mizigo za UG ndio maana tunaweza kupandisha bei tatakavyo. Ila mkileta compe basi sisi nasi tunashusha bei kishenzi.
Hamuwezi kushusha kwasababu mchina anasubiri pesa yake, kwa barabara hiyo ni private sector lazima wapate faida, gharama ya diesel huwezi shindanisha na Umeme, bei ya oil soko la dunia inapanda na kushuka kila siku.
 
Hio mia tano umetoa wapi? Kama SGR ya Kenya ambayo ni diesel inabeba containers 108 na pia saa zingine huwa tuna double stack containers kisha treni inabeba container 216. Sasa hio mia tano umetoa wapi mzee? Unashangaza sana.

(News) KENYA- SGR launch double-stack freight trains to boost efficiency at Mombasa Port. - Regional Maritime Information Fusion Center RMIFC

Kenya ni nchi ya kwanza kuintroduce double stack in Africa.

Kenya-double-stack-railway-autojosh-2.jpg

Double stacking intermodal first in Kenya

Kenya Is The First African Country To Introduce Double Stack Railway Service
Kumbuka train moja inabeba containers 500, inachukua masaa 10 tu kufika Mwanza, kwa bei nafuu na usalama ni 100%. Hata kama hapo Mwanza yatasubiri kwa siku 4.

Huwezi kulinganisha na barabara toka Mombasa hadi Malaba ni siku 4, Usalama njiani ni 60% na gharama ya kusafirisha ni almost twice.
 
Hamuwezi kushusha kwasababu mchina anasubiri pesa yake, kwa barabara hiyo ni private sector lazima wapate faida, gharama ya diesel huwezi shindanisha na Umeme, bei ya oil soko la dunia inapanda na kushuka kila siku.

Yale ma-geothermal na windpower plants yao umeme utakuwa over 20cent per unit! hayataweza ku-compete kamwe!

This is what Uhuru is doing that country infrastructure!

cart-before-horse.jpg
 
Yale ma-geothermal plants yao umeme itakuwa over 20cent per unit!

This is what Uhuru is doing that country infrastructure!

cart-before-horse.jpg
Geothermal ni $8 cents per unit. Kama hujui kitu uliza.
 
Hio mia tano umetoa wapi? Kama SGR ya Kenya ambayo ni diesel inabeba containers 108 na pia saa zingine huwa tuna double stack containers kisha treni inabeba container 216. Sasa hio mia tano umetoa wapi mzee? Unashangaza sana

(News) KENYA- SGR launch double-stack freight trains to boost efficiency at Mombasa Port. - Regional Maritime Information Fusion Center RMIFC

Kenya ni nchi ya kwanza kuintroduce double stack in Africa
View attachment 1600901

Double stacking intermodal first in Kenya

Kenya Is The First African Country To Introduce Double Stack Railway Service

Doublestack ya empty containers sio? Hiyo train inaenda Mombasa baada ya kukusanya empty containers Naivasaha!
 
Geothermal ni $8 cents per unit. Kama hujui kitu uliza.

Evidence? Ukiniletea evidence ya geothermal plants Olkaria I & II unit cost is $8 cent! Ninaweka post ya msamaha humu ndani kwa wiki nzima!
 
Kumbuka train moja inabeba containers 500, inachukua masaa 10 tu kufika Mwanza, kwa bei nafuu na usalama ni 100%. Hata kama hapo Mwanza yatasubiri kwa siku 4.

Huwezi kulinganisha na barabara toka Mombasa hadi Malaba ni siku 4, Usalama njiani ni 60% na gharama ya kusafirisha ni almost twice.
Kutoka Mombasa hadi Malaba ni 48 hours tu ukitumia truck. Ila ukitumia SGR hadi Naivasha basi hio inapungua hadi 36 hours. Hio ni kwa sababu SGR kutoka Mombasa hadi Naivasha ni around 10 hours tu.
 
Kumbuka train moja inabeba containers 500, inachukua masaa 10 tu kufika Mwanza, kwa bei nafuu na usalama ni 100%. Hata kama hapo Mwanza yatasubiri kwa siku 4.

Huwezi kulinganisha na barabara toka Mombasa hadi Malaba ni siku 4, Usalama njiani ni 60% na gharama ya kusafirisha ni almost twice.

na isitoshe JPM hawezi kujenga SGR mpaka Mwanza halafu containers zikwame pale nina uhakika atajenga hata wagon ferries 10 ili containers zisikae muda mrefu! wagon ferry moja ni less than $40 mln, hashindwi ku-allocate $200mln kwa ajili ya kujenga 5 kwa mkupuo!
 
evidence? Ukiniletea evidence ya geothermal plants Olkaria I & II unit cost is 8 cent! Ninaweka post ya msamaha humu ndani kwa wiki nzima!
Hahahaha. Sawa mzee. Wacha nitafute. Kisha nitakufunza tofauti ya Thermal na Geothermal. Wewe ulitufunza mengi kuhusu tofauti ya Lng na Lpg sasa wacha mimi nikufunze tofauti ya thermal na geothermal power na bei yao. Wacha joto la jiwe awe witness kwamba umesema utaomba msamaha hadharani ikiwa nitaleta evidence kuwa geothermal ni $8 per unit. Subiri narudi na nondo.
 
yaani wewe unifunze mimi juu ya Geothermal! Jesussss! kwenye mambo ya energy be fossil fuels/renewable don't even dare! Iwe hydropower, geothermal, thermal, windpower, coal, solarpower au gas electric power generation plants au hata crude refinery au hata oil/gas pipeline na najua all ground heat extraction processes! tena koma!!! Nina map yote kichwani ya geothermal hotspots za Tanzania! narudia koma!
 
Hio mia tano umetoa wapi? Kama SGR ya Kenya ambayo ni diesel inabeba containers 108 na pia saa zingine huwa tuna double stack containers kisha treni inabeba container 216. Sasa hio mia tano umetoa wapi mzee? Unashangaza sana

(News) KENYA- SGR launch double-stack freight trains to boost efficiency at Mombasa Port. - Regional Maritime Information Fusion Center RMIFC

Kenya ni nchi ya kwanza kuintroduce double stack in Africa
View attachment 1600901

Double stacking intermodal first in Kenya

Kenya Is The First African Country To Introduce Double Stack Railway Service
Tony254 SGR ya Kenya na Tanzania ni tofauti sana, hii yetu itavuta wagons 500 kwa trip moja, yaani tani 10,000 kwa train moja, Kenya inavuta tani 4,000 tu kwa train moja.

Hii ni kutokana na kwamba axel load ya Tanzania ni tani 35 wakati Kenya ni tani 24 tu, pili ni kwasababu locomotive za umeme nguvu yake ya kuvuta ni almost 3times higher than diesel Engine

Msikilise Kadogosa kuanzia dakika ya 18

@Tony254 SGR ya Kenya na Tanzania ni tofauti sana, hii yetu itavuta wagons 500 kwa trip moja, yaani tani 10,000 kwa train moja, Kenya inavuta tani 4,000 tu kwa train moja.

Hii ni kutokana na kwamba axel load ya Tanzania ni tani 35 wakati Kenya ni tani 24 tu, pili ni kwasababu locomotive za umeme nguvu yake ya kuvuta ni almost 3times higher than diesel Engine

Msikilise Kadogosa kuanzia dakika ya 18

haweziskia! Hajiulizi kwann mchina ghafla aligoma kutoa pesa ya SGR Naivasha-Malaba?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona walishasema kwamba Tanzania tuliwafanyia figusi kwa mchina?, hao wakishindwa lazima watutupie zigo la lawama.
 
Back
Top Bottom