joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #61
Ulikua wapi? Tatizo lako unapenda sana kutoroka wewe, hata katika kazi muhimu kama hizi pia ulitoroka?Sikuwepo wakati Suez canal inajengwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua wapi? Tatizo lako unapenda sana kutoroka wewe, hata katika kazi muhimu kama hizi pia ulitoroka?Sikuwepo wakati Suez canal inajengwa
Tony254 SGR ya Kenya na Tanzania ni tofauti sana, hii yetu itavuta wagons 500 kwa trip moja, yaani tani 10,000 kwa train moja, Kenya inavuta tani 4,000 tu kwa train moja.
Hii ni kutokana na kwamba axel load ya Tanzania ni tani 35 wakati Kenya ni tani 24 tu, pili ni kwasababu locomotive za umeme nguvu yake ya kuvuta ni almost 3times higher than diesel Engine
Msikilise Kadogosa kuanzia dakika ya 18
These are simple things. Hapa hakuna jambo la maana ambalo umeandika. Tumeanza vizuri kudebate cost ya geothermal power halafu umeona ulikuwa wrong sasa umeanza kubadilisha gear angani na kuanza kuongea mambo ya cost of power in Kenya. Wewe amua kama tunaongea kuhusu cost of power in Kenya ama tunaongea specifically kuhusu cost of producing geothermal power. Usijichanganye hovyo hovyo.Kengen sells to a distributer called Kenpower right? Now get me a unit cost in ur house meaning a cost u read from meter in ur house! In any power industry there is Upstream, midstream and lowstream operators dealing with exploration, generation, redistribution and commercialization! Boy get to know this before u argue with me!
learn a difference btn $20 per unit or per kWh n $20 Cent per unit or kWh first then njoo hapa tu-discuss kuhusu tofauti ya power generator na power distributor! Why Tanesco structure as sole generator and -distribtor will always be the cheapest modal of operation to final user in comparison of Kenya that has many players btn exploration, generation and distribution!These are simple things. Hapa hakuna jambo la maana ambalo umeandika. Tumeanza vizuri kudebate cost ya geothermal power halafu umeona ulikuwa wrong sasa umeanza kubadilisha gear angani na kuanza kuongea mambo ya cost of power in Kenya. Wewe amua kama tunaongea kuhusu cost of power in Kenya ama tunaongea specifically kuhusu cost of producing geothermal power. Usijichanganye hovyo hovyo.
Kila mmoja wa hawa private producers ana contract ya 25 years na Kenya power. Halafu whether umeme wao unanunuliwa au la, lazima walipwe, bora wanazalisha umeme.In Tanzania, after a JNHPP completion Tanesco will then owns the plant just like Kidatu, Kihansi n Kinyerezi meaning Tanesco will produce then redistribute before commercialize the power to final user a reason there will never be a time ur power will be cheaper than ours! JPM sent all those private power producers packing!
N u expect cheaper unit cost right? GT Menengai just like Turkana WP receives his cheque as u speak n yet both not connected to the main transmission grid!Kila mmoja wa hawa private producers ana contract ya 25 years na Kenya power. Halafu whether umeme wao unanunuliwa au la, lazima walipwe, bora wanazalisha umeme.
Sasa nataka ujuwe kwamba mimi huwa saa zingine naandika kwa kufupisha. Saa zingine nakosa kuandika cents kwa sababu najua wewe unaelewa haya mambo. Sasa sijui kwa nini umeanza matusi. Ni kawaida yangu kuandika $8 per kwh kwa sababu wewe sio mtoto mdogo eti lazima niandike $8 cents per kwh ndio uelewe.wacha ujinga nimetaja $20Cent per KWh or unit cost of $20Cent ! Sijataja cost ya $20 per unit or $20 per KWh! Fool, naona Maths ilikushinda!
Sasa nataka ujuwe kwamba mimi huwa saa zingine naandika kwa kufupisha. Saa zingine nakosa kuandika cents kwa sababu najua wewe unaelewa haya mambo. Sasa sijui kwa nini umeanza matusi. Ni kawaida yangu kuandika $8 per kwh kwa sababu wewe sio mtoto mdogo eti lazima niandike $8 cents per kwh ndio uelewe. Hata pia naweza kuandika 8 per kwh. Unastahili kujua kwamba ninamaanisha eight us cents per kilowatt-hour, sawa mzee?
Hiyo ndio itafilisi Kenya kabisa, hiyo ilituvuruga sana ya kulipa hata kama hawazalishi, Magufuli aliifutilia mbali tunasubiri kuitwa mahakamani [emoji23][emoji23][emoji23]Kila mmoja wa hawa private producers ana contract ya 25 years na Kenya power. Halafu whether umeme wao unanunuliwa au la, lazima walipwe, bora wanazalisha umeme.
Boss either uamue kutulia tudebate bila matusi au debate iishe. Hata mimi naweza kukutusi ila huo ni utoto. Hio sio kukumisquote. Mimi huwa siandiki cents kwa sababu siko darasani, eti naandika thesis. Sio lazima niwe formal wakati nadebate hapa.Look i don't want u to waste my time again i prefer someone that at least does not misquote me i talk of $20 Cent per unit u talk of $20 per unit! For that case U have won my buddy! let me not waste my time! u idiot u wanted to teach me about geothermal!
Hiyo ndio itafilisi Kenya kabisa, hiyo ilituvuruga sana ya kulipa hata kama hawazalishi, Magufuli aliifutilia mbali tunasubiri kuitwa mahakamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Yes. I am an Idiot. Thank you very much Geza kwa matusi. Nashukuru sana.Look i don't want u to waste my time again i prefer someone that at least does not misquote me i talk of $20 Cent per unit u talk of $20 per unit! For that case U have won my buddy! let me not waste my time! u idiot u wanted to teach me about geothermal!
Usi-mind bro i have rescinded/withdraw that tusi! Now Geza Ulole is idiot kwavile katukana Tony254 na kila mtu anajua!Yes. I am an Idiot. Thank you very much Geza kwa matusi. Nashukuru sana.
Punguza hasira, huu mchezo unahitaji uvumilivu [emoji23][emoji23][emoji23]Yes. I am an Idiot. Thank you very much Geza kwa matusi. Nashukuru sana.
Punguza hasira, huu mchezo unahitaji uvumilivu [emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHA hivi wewe hapo ulipo unaweza kubainisha iwapo stima unayotumia ni ya geothermal, thermal au hydro? GRID hu combine different sources of electricity. Unit production ya Solar haiwezi kuwa the same na ya Wind, Hydro au Thermal.Kengen sells to a distributer called Kenpower right? Now get me a unit cost in ur house meaning a cost u read from meter in ur house! In any power industry there is Upstream, midstream and lowstream operators dealing with exploration, generation, redistribution and commercialization! Boy get to know this before u argue with me!
Shida yetu ni moja. Kuna maeneo ya Kenya ambayo geothermal kutoka Ol - Karia haijafika huko. Nyaya za umeme kutoka Ol-Karia hazijafika maeneo ya Kisumu, Busia, Kakamega. Haya maeneo bado yanategemea umeme kutoka hydro, thermal na pia umeme kutoka Uganda. Sasa hii thermal ndio inazalishwa na private investors na ndio bei ghali.Hiyo ndio itafilisi Kenya kabisa, hiyo ilituvuruga sana ya kulipa hata kama hawazalishi, Magufuli aliifutilia mbali tunasubiri kuitwa mahakamani [emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHA hivi wewe hapo ulipo unaweza kubainisha iwapo stima unayotumia ni ya geothermal, thermal au hydro? GRID hu combine different sources of electricity. Unit production ya Solar haiwezi kuwa the same na ya Wind, Hydro au Thermal.
Ushawekewa unit cost ya geothermal right from the horses mouth (KENGEN) pamoja na IRENA kudhibitisha kuwa unit cost ya geo in Kenya ni $8cents lakini kwa ujinga wako na uzalendo uchwara hutaki kukubali, hadi unajichanganya. Unit cost ya pale nyumbani au hata viwandani haviwezi kuwa sawa na unit cost of production. Lazima distributer apate margins zake. LOL, IGNORANCE IS BLISS.
Watanzania huyu ndiye expert wenu? HAHAHA.
Kwanini wakati wanachimba hiyo Geothermal wakati huo huo hamkuwa mnajenga njia kuunganisha katika " National Grid? ", kumbukeni mnaanza kukatwa capacity charges kuanzia siku wameanza kuzalisha umeme.Shida yetu ni moja. Kuna maeneo ya Kenya ambayo geothermal kutoka Ol - Karia haijafika huko. Nyaya za umeme kutoka Ol-Karia hazijafika maeneo ya Kisumu, Busia, Kakamega. Haya maeneo bado yanategemea umeme kutoka hydro, thermal na pia umeme kutoka Uganda. Sasa hii thermal ndio inazalishwa na private investors na ndio bei ghali. Serikali yetu inafanya juu chini kujenga nyaya za umeme kutoka Ol-Karia hadi hayo maeneo ya Kisumu ili angalau tuweze kufukuza hao private investors wanaozalisha umeme kwa kutumia diesel. Itachukua miaka kadhaa kabla umeme kutoka Ol-Karia kusambaa maeneo yote Kenya. Hawa private investors watabaki hapa Kenya hadi umeme nafuu wa geothermal ufike kila kona ya Kenya.
Mzee kubali hapa uko nje yaishe. Usijifanya bingwa wa kila mada. Kubali una mapungufu kwenye hii urekebishwe ili next time uwe na ufahamu nzuri wa mada husika.Look i don't want u to waste my time again i prefer someone that at least does not misquote me i talk of $20 Cent per unit u talk of $20 per unit! For that case U have won my buddy! let me not waste my time! u idiot u wanted to teach me about geothermal!