SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

Soma hii report utajua kuwa hamuwezi kuifikia Mombasa port. Utafahamu mengi kuhusu umuhimu wa Mombasa port. Mombasa port ni top 5 in Africa in terms of volume of cargo handled. Sasa sijui mtatushinda vipi? South Sudan, DR Congo, Tanzania, Ethiopia, Burundi, Rwanda na Uganda wote wanatumia Mombasa port zaidi ya Kenya yenyewe.

Uganda remains biggest client of the port of Mombasa | The East African
Hivi unajua maana vita ya buyashatsa?, sasa hivi ukiacha Uganda ambayo ndio tunapambana kuwanyang'anya mzigo, ni South Sudan pekee ndio inategemea bandari ya Mombasa by 100%. Rwanda, Burundi na DRC ni kama tumeshawatoa kwenu wote

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Lakini kutunyang'anya Uganda itakuwa vigumu.
 
But for how long will Mombasa port be at the top while having a bangled SGR that needs to reservice her loan to the Chinese? Mind u expansion of Dar port has lifted the capacity to over 25 mln tons per annum as we speak n a second phase of port expansion is on the draft!

I believe ur undoing is ur corruption as that SGR will never be a match on ours as far as running costs r to be factored in, central corridor will beat northern corridor easily on overall charges! The Chinese know that a reason they declined to lend u more.

Please try to be smart when u argue.
 
But for how long will Mombasa port be at the top while having a bangled SGR that needs to reservice her loan to the Chinese? Mind u expansion of Dar port has lifted the capacity to over 25 mln tons as we speak n a second phase of port expansion is on the draft!

I believe ur undoing is ur corruption as that SGR will never be a match on ours as far as running costs r to be factored in central corridor will beat northern corridor easily on overall charges! The Chinese know that a reason they declined to lend u more.

Please try to be smart when u argue.
Wait for your SGR railway to be complete before you start talking about central corridor competing with our northern corridor. Right now northern corridor is a monopoly.
 
By November 25th over 75% will be underconstruction upon a kickstart of Mwanza-Isaka section! right now 20% of Uganda cargo is already diverted to central corridor and the cargo is growing! At the moment with MGR n the use of roads, 👇

The Uganda Revenue Authority (URA) commissioner customs Abel Kagumire, said an increasing number of traders are now opting to use the Dar es Salaam Port following the deployment of URA officers at the port to clear Uganda bound cargo as well as that in transit.
Dar Port, Mombasa competition heats up
 
Mbona tayari mambo yameanza kubadilika kwa kasi kubwa?
Dar Port, Mombasa competition heats up

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapo the shorter route via Tanga port (currently under expansion including access dredging) is not yet fully streamlined with central corridor! Mimi naamini by 2025 cargo ya Uganda itakuwa shared 50:50 kati ya Kenya na Tanzania. JPM is serious with snatching the share of Ugandan cargo. As we speak over 200 cargo wagons plus over 30 engines r being overhaled n renovated ready to serve central corridor!

Usisahau EACOP halijaongelewa bado!
 
Mbona tayari mambo yameanza kubadilika kwa kasi kubwa?
Dar Port, Mombasa competition heats up

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Naona mumeanza kuimprove efficiency kwa port yenu. Wafanyibiashara hawafurahii mizigo yao ikichelewa kwa port. Sgr ya Kenya imeimprove efficiency sana. Truck moja ilikuwa inachukua zaidi ya 12 hours kusafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi. Train ya Sgr inachukua chini ya 8 hours non-stop kutoka Mombasa hadi Nairobi. Halafu mizigo ilikuwa inachukua siku nyingi kwa port kwa sababu KRA walikuwa wanakagua mizigo kwa port na kutoza kodi kwa port. Nyinyi bado mnafanya hivi, ila sisi tumeanza mbinu mpya ambayo ni more efficient na cargo haisimami kwenye port na wala haihifadhiwi kwenye port ya Mombasa. Badala ya cargo kufanyiwa inspection Mombasa port, cargo hio inatolewa kwenye meli na kupakiwa kwenye SGR direct kama uonavyo hapa
icd-nairobi.jpg

Kisha treni inachana mbuga hadi nairobi. Ikifika Nairobi ICD ndio mizigo inapakuliwa na kufanyiwa inspection na kutozwa kodi na mfanyibiashara anapewa masiku chache sana kuondoa mizigo yake hapo kwa sababu ICD ya Nairobi ni ndogo (400,000 TEU capacity) kwa hivyo mizigo haiwezi kucheleweshwa. Yaani meli ikiwasili mombasa port sasa hivi, mizigo zitawasili Nairobi chini ya 48 hours. Sasa wewe huoni kuwa Kenya iko very efficient kwenye logistics and transportation kushinda Tanzania kwa mbali? Endeleeni kuimprove efficiency ili mjaribu kutufikia.
 
View attachment 1602945

Wacha maneno mengi, sasa wafanyabiashara wa Uganda wameanza kutumia Central corridor kwa kasi sana. Ninyi hizi siasa zenu zinakowapeleka, ikifika 2022, lazima 40% ya mzigo wa Uganda utapitia Tanzania, mkipigana wakati wa Uchaguzi ni wazi kwamba 80%, itapitia Tanzania

Hata 2007 wakati mizigo za Uganda zilisimama kwa sababu ya post election violence nyie mlishindwa kutunyang'anya sasa 2022 ndio mtaweza? Halafu sio lazima vita itokee wakati wa uchaguzi. Lakini mkiweza kutunyang'anya pia ni sawa
 
Naona mumeanza kuimprove efficiency kwa port yenu. Wafanyibiashara hawafurahii mizigo yao ikichelewa kwa port. Sgr ya Kenya imeimprove efficiency sana. Truck moja ilikuwa inachukua zaidi ya 12 hours kusafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi. Train ya Sgr inachukua chini ya 8 hours non-stop kutoka Mombasa hadi Nairobi. Halafu mizigo ilikuwa inachukua siku nyingi kwa port kwa sababu KRA walikuwa wanakagua mizigo kwa port na kutoza kodi kwa port. Nyinyi bado mnafanya hivi, ila sisi tumeanza mbinu mpya ambayo ni more efficient na cargo haisimami kwenye port na wala haihifadhiwi kwenye port ya Mombasa. Badala ya cargo kufanyiwa inspection Mombasa port, cargo hio inatolewa kwenye meli na kupakiwa kwenye SGR direct kama uonavyo hapa
View attachment 1602945
Kisha treni inachana mbuga hadi nairobi. Ikifika Nairobi ICD ndio mizigo inapakuliwa na kufanyiwa inspection na kutozwa kodi na mfanyibiashara anapewa masiku chache sana kuondoa mizigo yake hapo kwa sababu ICD ya Nairobi ni ndogo (400,000 TEU capacity) kwa hivyo mizigo haiwezi kucheleweshwa. Yaani meli ikiwasili mombasa port sasa hivi, mizigo zitawasili Nairobi chini ya 48 hours. Sasa wewe huoni kuwa Kenya iko very efficient kwenye logistics and transportation kushinda Tanzania kwa mbali? Endeleeni kuimprove efficiency ili mjaribu kutufikia.

Huu upumbavu unaoandika wakati SGR imegomewa na both Ugandan n local transporters sijui unajaribu kumfumba nani na ujinga?

Uganda insists on optional use of Naivasha ICD​

Kenya commenced haulage of all transit cargo to Naivasha​

In Summary
  • The Ugandan business community and government says the Kenyan government should not force port users on the new facility.
Transport CS James Macharia joins other government officials in touring the Sh6.9 billion Inland Container Depot in Mai Mahiu, Naivasha, on June 2, 2020
CURBING VIRUS SPREAD: Transport CS James Macharia joins other government officials in touring the Sh6.9 billion Inland Container Depot in Mai Mahiu, Naivasha, on June 2, 2020
Image: GEORGE MURAGE

Uganda has insisted cargo by SGR to Naivasha ICD and use of the dry port should be optional.

The Ugandan business community and government says the Kenyan government should not force port users on the new facility.

The neighbouring country which accounts for more than 82 per cent of transit cargo to the hinterland wants to continue picking it's imports from Mombasa.

“We have learnt that you intend to rail all containers in transit to Uganda through Naivasha ICD and we write to inform you about our dismay to such an act if this is true,”managing director Mukwano Industries Uganda, Alykhan Khamali, said in a letter addressed to the Kenya Ports Authority.

There has been a back and forth between the two governments since Kenya declared a mandatory clearance and collection of all transit cargo to the hinterland through the Naivasha ICD.

Kenya has turned down the neighbouring country’s request for optional use of the Standard Gauge Railway to haul goods destined for Kampala to the Suswa based dry port.

Ugandan Transport minister Edward Katumba had asked his Kenyan counterpart James Macharia to reconsider the May 22 directive.

According to Khamali, his industry has been using the Port for over 35 years and have never experienced such an act.

“You and your staff are aware of the contractual carriage obligations that exist between the Shiper, consigner and shipping lines and if our point of discharge is Mombasa and on carriage is on consignees’ risk and account, we wonder how you are railing our containers to Naivasha without our consent,” the letter read.

“We request you to observe the contractual obligations and failure to do so shall leave us with no option but to seek legal recourse.”

The Managing Director also stated that at no time did the company’s containers overstay at the Port and urged KPA to address the matter urgently to ensure the firm’s supply of raw materials is not disrupted.
“When the rail is operational up to Kampala, and not only stopping at Naivasha we shall review our own carriage means and if competitive we shall embrace the same,” Khamali concluded.
Uganda insists on optional use of Naivasha ICD
 
Hata 2007 wakati mizigo za Uganda zilisimama kwa sababu ya post election violence nyie mlishindwa kutunyang'anya sasa 2022 ndio mtaweza? Halafu sio lazima vita itokee wakati wa uchaguzi. Lakini mkiweza kutunyang'anya pia ni sawa
Nadhani kuna article umesoma kwanini waganda wanaanza kutumia bandari ya Dar es Salaam, hizo sababu hazikuwepo 2007, sababu pekee iliyowafanya watumie bandari ya Dar ilikua ni PEV.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uko na evidence kuwa local businessmen wamegoma kutumia SGR?

Importers decry high SGR charges, want lower rates
A report by a technical committee says it costs about 133.5pc more to transport cargo by rail

by Zachary Ochuodho
@zachuodho

Importers using the Standard Gauge Railways (SGR) to transport goods from Mombasa to Nairobi have decried the high cost they incur before their cargos reach their doorstep.

Comprising traders and manufacturers, the group wants the government to reduce transport charges to help cut the cost of doing business as had been promised when the SGR idea was rolled out.

They said the cost they incur for every container they ferry to Nairobi is high if they use SGR as compared to what they ordinary incur if they transport the same cargo by road.

“When our company uses SGR to transport goods from Mombasa to Nairobi, we pay more than if we transport the same item by road,” Chief Executive Officer of East African Cables, Paul Muigai told Business Hub. He said the raw materials they use are imported and for them to reach their doorstep, they have realised they spend Sh10,000 more per every container.

The outcry over high transport cost of cargo by SGR comes after a joint technical committee appointed in March to look into the efficiency and cost-effectiveness of transportation of cargo using SGR revealed that it costs an average 133.5 per cent more to transport cargo using the rail system. It found that average transport for 20ft and 40ft container from Mombasa to Nairobi by road is Sh66,950 and Sh87,550 while average transport for rail transport for 20ft and 40ft container from Mombasa to Nairobi is Sh146,260 and Sh218,360.

Kenya Association of Manufacturers (KAM) chief executive officer Phyllis Wakiaga said most members of the lobby body are concerned about high cost of transport and logistics services.

She said the two were a critical component of economic development and competitiveness of industries.

“Industrial performance is wrapped around the movement of products and cargo within the supply chain from farm to consumers,” said Wakiaga, adding that an efficient and cost-effective logistics system in the country is critical because a large amount of industrial inputs for the majority of sectors are imported.

Vincent Asige, Transport Manager at A.O. Bayusuf & Sons Ltd, said road transport is relatively cheaper today more than it used to be because roads leading to and out of Mombasa port have been upgraded and traffic jams no longer exist.

Forcing consumers
He said there is need to leave consumers of the transport system - roads and railways - to choose which one of the two suits them better instead of forcing consumers to use SGR even if it is expensive and add no value for their services.

Wakiaga said inefficiencies in the logistics supply chain cause manufacturers to incur huge costs, including demurrages, warehouse rent and port charges.

She said the inefficiencies were likely to impact on the competitiveness of local industry due to high operation costs. She urged the government to implement what the joint technical committee, formed in March, recommended.

Wakiaga said the committee had recommended that only four agencies namely Kenya Ports Authority, Kenya Railways, Kenya Revenue Authority, and Kenya Bureau of Standards should be allowed to operate at the Mombasa Port.

A report by the Joint Technical Committee on the improvement of efficient and cost-effective transportation of cargo using SGR calls for reduction in the number of government agencies working at the port and inland container deport in Nairobi from 28 to four critical agencies.

“It has been observed that the cost of doing business and efficiency at the port is dependent on the actions by the government agencies, shipping lines and cargo owners and the time each of the players takes to execute their actions are crucial,” the report stated.

Roman Gishinga Waena of the dockworkers’ union said Shippers Council of Eastern Africa and importers have reported huge losses in demurrage charges as a result of delays to transport empty containers back to Mombasa.

RAILWAY SYSTEM

• The government suspended the controversial order on transportation of cargo from Mombasa to Nairobi by use of the Standard Gauge Railway early this month to pave way for stakeholder consultations.

• The suspension came hours after the National Assembly directed Transport and Infrastructure Cabinet Secretary James Macharia to appear before the Transport Committee to explain the directive which the ministry had issued a week earlier.

Importers protest over SGR directive​

By FRANKLINE SUNDAY | August 7th 2019 at 12:00:00 GMT +0300
ormtx7x9pingtoty8yx5d49b11b2e4f9.jpg

Importers say the move to force them to use the SGR freight train will raise operating costs.[Gideon Maundu, Standard]

Importers and cargo transporters have opposed the Government’s directive that all goods destined to Nairobi and beyond be shipped using the Standard Gauge Railway (SGR).

The notice issued last week by the Kenya Ports Authority (KPA) and Kenya Revenue Authority (KRA) comes into effect today. This is despite the growing worry of job losses and higher operating costs.

“This is giving the SGR a monopoly, which is illegal in Kenya and will also push other cargo transporters out of business,” said Excel Trucking Chief Executive Francis Omondi.

The directive compels all importers who use the Port of Mombasa to exclusively move their cargo through the SGR starting today.

“All imported cargo for delivery to Nairobi and the hinterland shall be conveyed by standard gauge railway (SGR) and cleared at the Inland Container Depot, Nairobi,” said the notice.

However, cargo transporters who spoke to The Standard said the Government’s move will raise the cost of doing business, with the costs passed on to consumers.

The Government has also been accused of issuing the directive without engaging stakeholders and addressing the inefficiencies associated with the port and the Inland Container Depot (ICD) in Embakasi.

“There are a lot of inefficiencies at the port and the ICD that the Government needs to address because they translate to delays in clearing goods and higher operating costs for importers,” said Mr Omondi.

Kenya Transporters Association Chief Executive Mercy Ireri said thousands of jobs stand to be lost directly, including drivers, mechanics and support staff as well as indirectly along the country’s trucking routes.

“If the SGR carries 800 containers each day, this translates to 800 drivers and their dependents left without a livelihood each day,” she said. It costs Sh75,000 to transport a container from Mombasa to the ICD in Nairobi where owners have to collect them at an extra cost. Trucking the same costs Sh80,000, with the cargo sent to the owner’s doorstep.

“We understand the idea is to utilise the SGR but the government should not force importers on the rail because it does not make economic sense,” said Kenya Auto Bazar Association CEO Charles Munyori.

Importers protest over SGR directive
 
Ndio, wafanyibiashara wa Kenya wanalia kama watoto ila serikali imewalazimisha kutumia SGR wapende wasipende. Okay Geza? Sasa hio white elephant yako iko wapi kama SGR inatumika full time na Nairobi ICD imejaa pomoni? Hehehe.
 
Back
Top Bottom