SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

Hata 2007 wakati mizigo za Uganda zilisimama kwa sababu ya post election violence nyie mlishindwa kutunyang'anya sasa 2022 ndio mtaweza? Halafu sio lazima vita itokee wakati wa uchaguzi. Lakini mkiweza kutunyang'anya pia ni sawa
Sasa hivi itakua lahisi kuwanyang'anya Kwa kua mazingira ya miundo mbinu itakuwa inashawishi mfanya biashara wa Uganda kufikirua upande wa pili tofauti na miaka ya nyuma alikua hana chaguo
 
Si wewe ndio ulikuwa unasema kuwa 2025 tutakuwa tunashare mizigo za Uganda 50:50? Au sio wewe?
Tony254 kuna wakati unapoteza Network kichwani, nani amekuambia hiyo 50/50 inategemea SGR?, soma tena hii.
Dar Port, Mombasa competition heats up" kwenye post #106 hapo juu.

SGR ikikamilka tegemea 80/20.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wakati jamaa akibisha kuhusu central corridor ngoja nimpoteze network kidogo!

Mtwara port update as September 2020 to be ready in December...

Tanga port update as March 2020, phase II has already started...

Kwanza kitu cha kwanza unapaswa kujua na kukubali ni kwamba Dar port ina the most modern and higher technology, kuliko Mombasa port, ushahidi ukitaka nitakuwekea.

Pili ni kwamba, lengo lao ni kuhakikisha kwamba mzigo ukifika Nairobi uwe umegharimu pesa kidogo kadri iwezekanavyo, iwe ni bandarini au kwenye SGR, popote pale panapoongeza gharama ya kufanya biashara kuwa kubwa, watatafuta njia ili kukwepa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa tunabishana na video imesema wazi sababu ya wafanyibiashara wakora kukwepa Mombasa? Anyway wacha tusibishane zaidi ya hapo.
 
Kwanza kitu cha kwanza unapaswa kujua na kukubali ni kwamba Dar port ina the most modern and higher technology, kuliko Mombasa port, ushahidi ukitaka nitakuwekea.

Pili ni kwamba, lengo lao ni kuhakikisha kwamba mzigo ukifika Nairobi uwe umegharimu pesa kidogo kadri iwezekanavyo, iwe ni bandarini au kwenye SGR, popote pale panapoongeza gharama ya kufanya biashara kuwa kubwa, watatafuta njia ili kukwepa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Halafu ni wafanyabiashara wachache sana wanafanya huu ukora. Anyway let us agree to disagree.
 
Sasa hivi itakua lahisi kuwanyang'anya Kwa kua mazingira ya miundo mbinu itakuwa inashawishi mfanya biashara wa Uganda kufikirua upande wa pili tofauti na miaka ya nyuma alikua hana chaguo
Ngojea hadi 2030.
 
Halafu ni wafanyabiashara wachache sana wanafanya huu ukora. Anyway let us agree to disagree.
Shida moja ninayoiona ni kwamba unakosa kuelewa concepts nzima ya kufanya biashara.

Hiyo video lengo ni kukuonyesha kwamba, wafanyabiashara wapo tayari kutumia njia yoyote ambayo kwao itawapunguzia gharama za kufanya biashara.

Kama gharama za SGR hadi Nairobi itakua ni kubwa kuliko kupitishia Dar port, kwanini waditumie Dar to Nairobi?

Hata kama ni wewe ndiye mwenye mzigo, kama Dar to Nairobi ni cheaper kuliko Mombasa Nairobi, utaacha kupitishia Dar?

Hiyo ndio sababu ya hizi nchi mbili kuwekeza pesa nyingi sana katika kuboresha bandari na kujenga reli ili kupunguza gharama za biashara na kuvutia wateja wengi zaidi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Don't be so sure.

Going from experiences of LAPSSET and Konza tech city that have taken over 10 years uncompleted, forget about GoK raising money from ur budget, then who will lend u money?
 
Ni wapi kwenye hio video wamesema eti ni cheaper kutumia Dar to Nairobi? Nipee time-stamp. Hio ni video ya dakika tatu, niambie ni dakika ya ngapi au sekunde ya ngapi katika hio video ripota amesema kuwa wafanyabiashara wanafanya hivyo kwa sababu njia ya Dar ni cheaper?
 
Huu ni ushamba. Katika regime ya Uhuru tumetembelewa na Emmanuel Macron, Barrack Obama, Benjamin Netanyahu, Narendra Modi, Theresa May na wengine wengi. Unataka niendelee? Lakini Wakenya hatupendi kuringa kuhusu mambo haya.
 
Going from experiences of LAPSSET and Konza tech city that have taken over 10 years uncompleted, forget about GoK raising money from ur budget, then who will lend u money?
In 10 years we will have paid the Chinese debt.
 
Going from experiences of LAPSSET and Konza tech city that have taken over 10 years uncompleted, forget about GoK raising money from ur budget, then who will lend u money?
Lamu and Konza started around 2012 or 2013.
 
Rest be assured SGR Kenya will have not reached Malaba!
Kama unataka TZ iipite Kenya then omba Mungu 2022 sisi tupate rais asiyependa mendeleo kama Moi. Moi hakujenga barabara sana wala reli wala nini. Alikuwa umbwa tu.
 
Back
Top Bottom