Kwani hii discussion imeanzia wapi?, tumesema kwamba hamuwezi kuwalazimisha wafanyabiashara kutumia SGR kwa nguvu ili kuhepuka SGR yenu kuwa" White elephant"(Hii umesema wewe), mimi nikakuambia kwamba, mkilazimisha kwa nguvu wakati ni ghali, kuna uwezekani wakapitishia Dar to Arusha kwa kutumia MGR kama watagundua ni cheaper badala ya kutumia SGR ambayo ni ghali.
Baada ya kukujibu hivyo, wewe ukasema sio rahisi kwa mfanyabiashara wa Kenya kutumia bandari ya Dar. Mimi nikakuwekea hiyo video kama mfano kukuonyesha kwamba wafanyabiashara wapo tayari kutumia njia yoyote ile ambayo kwake ni nafuu. Hiyo video wanajaribu kukwepa kodi, kama watagundua SGR toka Mombasa kwenda Nairobi ni ghali kuliko kupitia Dar hadi Nairobi, hakuna kitu kitawazuia kutopitisha Dar kwasababu mwisho wa siku kitu wanachotaka ni kupunguza gharama za kufanya biashara na kupata faida zaidi
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app