SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

Mkimskia Mkenya anaongea utaamini kila kitu ni rosy huko kwao ila amini usiamini Tanzania is way ahead in connecting her neighbors.

All Tanzania's neighbors r connected with paved roads and more over through inland ports, ferries n ships in all her major lakes (Victoria, Nyasa, Tanganyika) r in good conditions!

As a matter of fact Tanzania is building another corridor i.e. Western corridor via Kigoma, Katavi n Rukwa to connect Uganda, Rwanda, Burundi with Zambia n Malawi! Right now one has to go through Tabora, Singida n Dodoma!

Believe or not a cargo from Mombasa port has to pass through Uganda to reach Juba in South Sudan since only Uganda has tarmarck road to Juba.
 
Bora wakubali kulipa kodi mimi sina shida wakipitisha mizigo Namanga ila kwenye hio video wamesema vizuri kuwa hao wafanyabiashara wanashikana na maafisa ya KRA ili kutolipa ushuru au kulipa ushuru kidogo kwa sababu hakuna scanner. Yaani hawapitii TZ tu kwa sababu ya gharama nafuu ya usafirishaji pekee ila pia kwa sababu Namanga hakuna scanner. Sasa bora wakubali kulipa ushuru mimi sina shida wakipitia Namanga. Halafu hatujui ni wafanyibiashara wangapi wameamua kupitia Namanga. Kwa hivyo hatuwezi kuconclude kuwa Wafanyibiashara wengi wanatoroka SGR. Tungoje tupate data Wakenya wangapi wanatumia Namanga. Mombasa port 2019 ilipitisha 1.4 million TEUs. Kwa hivyo hao wachache wanaopitia Namanga hawaaffect sana mizigo za Mombasa kwa sababu idadi ya mizigo zinazopitia Mombasa kila mwaka inazidi kuongezeka.

Kenya's port of Mombasa to handle 1.4 million TEUs in 2019 - Xinhua | English.news.cn
Sasa hivi bado hawajaanza kukimbia bandari ya Mombasa kwasababu bado wanaendelea kuishawishi GoK kufutilia mbali sheria ya kulazimisha mizigo kubebwa na SGR kwa lazima, endapo serikali yenu itakataa na wakigundua kwamba Dar to Arusha kwa MGR ni cheaper, lazima wengi watahamia Dar.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkimskia Mkenya anaongea utaamini kila kitu ni rosy huko kwao ila amini usiamini Tanzania is way ahead in connecting her neighbors all her neighbors r connected with paved roads and more over through inland ports, ferries n ships in all her major lakes (Victoria, Nyasa, Tanganyika) r in good conditions!

As a matter of fact Tanzania is building another corridor i.e. Western corridor via Kigoma, Katavi n Rukwa to connect Uganda, Rwanda, Burundi with Zambia n Malawi! Right now one has to go through Tabora, Singida n Dodoma!

Believe or not a cargo from Mombasa port has to pass through Uganda to reach Juba in South Sudan since only Uganda has tarmarck road to Juba.
Hilo sipingi. Ni kweli Kenya kwa sasa hatuna barabara la lami linalounganisha Kenya na South Sudan. Ila South Sudan ni shit-hole. Hatuna haraka na kuwaunganisha. After all tuna refugees zaidi ya 100,000 kutoka huko wanaoishi hapa Kenya (Kakuma camp) kwa hisani ya UN. Hata Somalia ni shit-hole na hatuna haraka na kuwaunga kwa lami. Tuna zaidi ya refugees 400,000 kutoka Somalia wanaoishi hapa Kenya (Daadab camp) kutoka mwaka wa 1992. Kenya tumeunga nchi za maana kama Ethiopia, Uganda na Tanzania. Barabara ya kuunga South Sudan kwa lami ilianza kujengwa miaka miwili iliopita.
 
Sasa hivi bado hawajaanza kukimbia bandari ya Mombasa kwasababu bado wanaendelea kuishawishi GoK kufutilia mbali sheria ya kulazimisha mizigo kubebwa na SGR kwa lazima, endapo serikali yenu itakataa na wakigundua kwamba Dar to Arusha kwa MGR ni cheaper, lazima wengi watahamia Dar.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Serikali ya Kenya ni kisirani wewe huijui. Wafanyibiashara Wakenya wanaiogopa serikali. Sasa hivi wengi wanafuata orders waliopewa na serikali kusafirisha mizigo kutumia SGR. Wachache vichwa ngumu ndio wanakaidi amri na kutumia Namanga border.
 
Hilo sipingi. Ni kweli Kenya kwa sasa hatuna barabara la lami linalounganisha Kenya na South Sudan. Ila South Sudan ni shit-hole. Hatuna haraka na kuwaunganisha. After all tuna refugees zaidi ya 100,000 kutoka huko wanaoishi hapa Kenya (Kakuma camp) kwa hisani ya UN. Hata Somalia ni shit-hole na hatuna haraka na kuwaunga kwa lami. Tuna zaidi ya refugees 400,000 kutoka Somalia wanaoishi hapa Kenya (Daadab camp) kutoka mwaka wa 1992. Kenya tumeunga nchi za maana kama Ethiopia, Uganda na Tanzania. Barabara ya kuunga South Sudan kwa lami ilianza kujengwa miaka miwili iliopita.

Shithole yet mmjenga port kwa ajili yao? na mnaamini watajiunga na pipeline yenu to nowhere! Who is shithole overhere? Wacha kudanganya from Nairobi to Addis Ababa is not all paved i once posted some clips during rainy period!
 
Geza kubali yaishe. South Sudan hawana lolote.
largest trading partner for Uganda!

BTW WB has just issued Kshs 81 bln to build roads n fiber optic cable to North eastern yet some of u mlikuwa mnasema kuko paved!
 
largest trading partner for Uganda!

BTW WB has just issued Kshs 81 bln to build roads n fiber optic cable to North eastern yet some of u mlikuwa mnasema kuko paved!

Wewe unajua tofauti ya North Eastern (Garissa, Mandera na Wajir) na Northern counties (Turkana na Marsabit)? Moyale ambayo nimekuambia iko paved ni town ndani ya Marsabit county. Sasa North Eastern kuelekea Somalia haiko paved kwa sababu nimekuambia Somalia ni shit-hole na hatuna haja ya kuwaunga ila Moyale ambayo ipo ndani ya Marsabit county iko paved kwa sababu sisi tuna haja na kuungana na Ethiopia. Sasa nionyeshe ni wapi nilisema kuwa barabara ya kuelekea Somalia iko paved? Wacha nikufunze map ya Keny maana naona huelewi ramani ya Kenya. Ebu angalia hii map hapo juu utaona Marsabit county chini ya Ethiopia, hapo Marsabit ndipo Moyale ipo. Kisha tazama North East ndio utaona counties za Kisomali. Hizo counties za kisomali hatuna haraka na kupave hizo barabara zao. Umenielewa sasa? Ama bado unapinga?

images (2).jpeg
 
largest trading partner for Uganda!

BTW WB has just issued Kshs 81 bln to build roads n fiber optic cable to North eastern yet some of u mlikuwa mnasema kuko paved!

Mzee usipingane na facts. Barabara ya Isiolo-Moyale iko paved. Hata upinge bado hio haitabadilisha ukweli. Hii barabara nimeitumia mimi mwenyewe.
Tazama kwenye ramani barabara zaidi ya kilomita mia tano ya Isiolo-Moyale

images (3).jpeg

Halafu barabara hio ya Isiolo Moyale nenda kwa google utype neno (Isiolo-Moyale road) kisha click on images ili utazame picha zake. Wacha nikuwekee hapa kadhaa ndio wivu ikumalize kabisa.
images (7).jpeg
images (6).jpeg
images (5).jpeg
images (4).jpeg
 
Mzee usipingane na facts. Barabara ya Isiolo-Moyale iko paved. Hata upinge bado hio haitabadilisha ukweli. Hii barabara nimeitumia mimi mwenyewe.
Tazama kwenye ramani barabara zaidi ya kilomita mia tano ya Isiolo-Moyale

View attachment 1603471

Halafu barabara hio ya Isiolo Moyale nenda kwa google utype neno (Isiolo-Moyale road) kisha click on images ili utazame picha zake. Wacha nikuwekee hapa kadhaa ndio wivu ikumalize kabisa.
View attachment 1603475View attachment 1603476View attachment 1603477View attachment 1603478
Nairobi Isiolo?

largest trading partner for Uganda!

BTW WB has just issued Kshs 81 bln to build roads n fiber optic cable to North eastern yet some of u mlikuwa mnasema kuko paved!

Largest trading partner for Uganda is Kenya. Leta evidence kuwa largest trading partner for Uganda ni South Sudan. Ama ulimaanisha kuwa largest trading partner for South Sudan ni Uganda? Maana hizo ni vitu viwili tofauti.
 
Mzee hebu fuata hii thread ya huyu mwanadada kwenye twitter. Alifanya road trip kutokea direction ya Garissa/ Hola kuelekea chini hadi Lamu. Utaona maeneo ambayo yana lami na ambayo hayana.

"">October 16, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>

the last rains destroyed parts of Nairobi-Isiolo!
 
Back
Top Bottom