SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

evidence? Ukiniletea evidence ya geothermal plants Olkaria I & II unit cost is 8 cent! Ninaweka post ya msamaha humu ndani kwa wiki nzima!

Soma hii report imeandikwa na mtu anayefanya kazi GDC (geothermal development company). Mwandishi katika paragraph ya pili anasema kuwa cost ya geothermal inategemea different factors ila cost katika nchi zingine inaweza kufika $13 cents per kwh ila cost ya geothermal hapa Kenya ina upper limit (maximum cost) ya $10 cents per kwh. Huyu mwandishi hajatoa average cost ila ametoa cost ya juu zaidi ambayo geothermal haiwezi kupita hapa Kenya. Natumai wewe ni mtu serious na utasoma hii report. Nimechukua muda kuitafuta kwa sababu yako kwa hivyo isome tafadhali. Nimeattach hio report hapo chini.

Pia nimesoma kwenye twitter ya Kengen kuwa cost of geothermal ni $8 cents per kwh kama nilivyokuambia. Sasa wapi msamaha yangu?

"https://twitter.com/hashtag/EnergyChampion?src=hash&ref_src=twsrc^tfw">#EnergyChampion pic.twitter.com/UMnI1PcoLh
— KenGenKenya (@KenGenKenya) June 16, 2020

Halafu sijui kama unaifahamu IRENA (International Renewable Energy Agency.) IRENA inasema kwenye tweet yao kuwa cost ya geothermal Kenya imepungua kutoka ksh 7.2 per kwh hadi ksh 2.4 per kwh. Hio in dollars ni kama imepungua kutoka $7 cents per kwh hadi $2.5 cents per kwh.

"https://t.co/nfDJ4ihlmF">pic.twitter.com/nfDJ4ihlmF
— IRENA (irena) November 16, 2017

Attachments

Evidence? Ukiniletea evidence ya geothermal plants Olkaria I & II unit cost is 8 cent! Ninaweka post ya msamaha humu ndani kwa wiki nzima!
Ila nashuku nyie hampendi kusoma. Wewe unaweza kukosa kusoma hio report. Hata hio paragraph ya pili unaweza kukataa kusoma. Wacha niipaste hapa chini. Katika mambo haya ya pesa na uchumi sijui unajisumbua kubishana na mimi kwa nini?

The levelized cost of power is project specific and must therefore be established for each individual project. Published data indicate an upper limit of about 13 US cents per kWh for geothermal projects. Kenya’s upper limit is about 10 US cents per kWh. There are many cost factors which may influence the levelized cost.

The key among them are project size, well output, wells and plant costs, operation and maintenance costs, interest on debt, loan tenure, payback period and financial leverage. These factors may be categorized as installation or initial investment cost, operation and maintenance costs, capital and financing costs, economic factors costs and legal and regulatory costs.

Kama walikuwa wazalendo kwa nini walilazimishwa kujenga kwa ujira mdogo?
UJENZI wa mfereji wa Suez nchini Misri ulioanza mwaka 1859 jadi 1869 ni mradi ambao awali wengi waliona kama mradi kichaa na wa kupoteza muda.

Ujenzi ulihitaji nguvu kazi kubwa na pesa nyingi kufikia malengo ambayo utawala wa Misri wa wakati huo usingeweza kufanikisha.

Ndio maana mradi ulipoanza, serikali ya Misri (na kampuni ya Suez) ilitumia nguvu za ziada kuwalazimisha raia wake kufanya kazi kwa ujira usiolingana na ukubwa wa kazi zilizofanyika. Walioshiriki katika kuchimba mrefeji huo walijihisi kama watumwa ndani ya nchi yao wenyewe.

Kazi zote za uchimbaji wa mfereji wa Suez zilifanyika kwa kutumia zana za mkono na zilizokuwa duni. Katika hatua za awali majembe, mashoka, sururu na zana nyingine ndizo zilizotumika.

Lakini wazalendo hawa waliendela kubeba jukumu la kukamilisha uchimbaji na uondoaji wa kifusi cha mfereji huo wenye urefu wa kilomita 193.30, sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Morogoro.

Shughuli iliyolalamikiwa na wengi sasa inailetea faida kubwa Misri, vizazi kwa vizazi. Huu ni mradi ambao kiuchumi ulikuwa ni lazima utekelezwe kutokana na uhakika wa kuzalisha faida.

Ni mradi ambao umerahisisha meli kutoka Ulaya, Asia, Afrika na Amerika zitumie mfereji huo kurahisisha ‘maisha’ huku serikali ikitengeneza faida.

Uchumi wa Misri kwa sasa unabebwa kwa kiasi kikubwa na mapato yatokanayo na ushuru wa kupitisha meli za mizigo katika mfereji huo.

Kama vijanawa Misri wa wakati huo wangepinga ujenzi wa mradi huo, kiasi cha zaidi ya Dola bilioni 5.3 (kwa mujibu wa Reuters), zinazoingia kama sehemu ya mapato ya Misri kwa mwaka, zingekuwa ni ndoto.

Taswira inayofanana na hii ya Misri ndio inayoonekana nchini Tanzania. Rais John Magufuli anatengeneza mfereji mpya wa kupitisha mizigo kutoka Bara la Asia kwenda nchi zote za Ukanda wa Kati na kusini maghaibi mwa Afrika.

Ikumbukwe kwamba ripoti mbalimbali za biashara duniani zinaonesha ya kuwa asilimia 90 ya bidhaa zote husafirishwa kwa njia ya maji. Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ni taswira halisi ya mfereji wa Suez kama wa Misri.

Utakuwa mfereji mpya katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Licha ya mfereji wa Misri kutatua changamoto kubwa ya uchumi wa dunia, bado nchi kama Angola, Congo DRC, Afrika ya Kati, Cameroon, Gabon, Congo, Equatorial Guinea na nyingine nyingi, ni waathirika wa safari za umbali mrefu kusafirisha bidhaa kwenda katika nchi zao.

Suluhisho la urefu na gharama kubwa ya kusafirisha mizigo kupitia Cape Town au mfereji wa Suez nchini Misri kwenda katika nchi hizi ni kutengeneza mfereji mpya wa SUEZ kupitia Tanzania.

Kwenye hoja hii ndipo maudhui makuu ya makala haya yamejikita na hatimaye kupata wazo la kuibatiza reli ya kisasa ya Tanzania kama ‘mfereji mpya wa Suez ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.’

Reli hii itakapokuwa imefika Mwanza, Kigoma, na kwenye mpaka wa Rusumo, Tanzania itakuwa na kazi nyingine muhimu ya kufanya ili lengo la kuwa na mfereji huu mpya wa Suez likamilike.

Kazi muhimu katika hatua hii itakuwa ni kupeleka timu maalumu ya ushawishi, kwenye nchi zote za Afrika Mashariki na Kati, yenye uwezo mkubwa wa kuionesha kivitendo diplomasia ya uchumi.

Reli ya kisasa inayojengwa nchini itakuwa sawa kabisa na kazi ya mfereji wa Suez kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Kati, na hata kwa dunia nzima.

Nimewahi kuandika kwamba diplomasia ya uchumi hutegemea mambo kadhaa; uwezo wa nchi kiuchumi, ushawishi wa nchi katika hoja za kimataifa, na nafasi ya nchi katika makundi mbalimbali ya kimataifa.

Katika mambo yote hayo, Tanzania inaweza kuwa na ushawishi mkubwa kutokana na nafasi yake katika ukanda wetu huu.

Tanzania ni miongoni mwa nchi katika ukanda huu inayomiliki eneo kubwa la Pwani ya Bahari ya Hindi na ndio nchi pekee katika ukanda huu inayopakana na nchi nyingi zisizo na bandari (land locked).

Tanzania ndio nchi pekee yenye bandari kubwa bahari ya Hindi inayopakana moja kwa moja na nchi yenye bandari kwenye bahari ya Atlantiki, yaani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo DRC).

Tanzania ndio nchi ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na wakati huo huo ni mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Ndio nchi yenye mradi mkubwa wa reli ya kisasa inayotoka bahari ya Hindi na yenye uwezo wa moja kwa moja wa kuziunganisha nchi zaidi ya tano. Hivyo haijawahi kutokea katika historia ya nchi ya Tanzania ambapo diplomasia ya uchumi inahitajika kufanyiwa kazi kivitendo kama wakati huu.

Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati pamoja na viongozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mikutano ya kikanda wanapaswa kufanya kazi ya ziada ili diplomasia hii ya uchumi itamalaki katika kukuza uchumi kupitia mradi wa SGR.

Baada ya SGR kufika Bandari ya Mwanza, mizigo ya Uganda na Sudan Kusini itasafirishwa kwa uharaka na kwa gharama nafuu kutoka bandari ya Dar es Salaam mpaka Mwanza na baadae mabehewa 22 kuingizwa moja kwa moja ndani ya meli za mizigo na kuvushwa mpaka Bandari ya Portbell, Kampala au Jinja.

Kutokea Uganda mzigo wa Sudan Kusini utasafirishwa kwa umbali mfupi na kuwafikia walaji. Ushawishi kwa nchi za Uganda na Sudan Kusini utahitajika ili kuonesha faida kubwa za kiuchumi kwa nchi hizo kwa kusafirisha mizigo kwa SGR kutoka Tanzania.

Reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam ikifika Rusumo, Tanzania itahitaji kushawishi Wanyarwanda na Warundi kuhusu unafuu wa gharama na uharaka wa kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kwa kutumia reli ya kisasa kutoka Tanzania.

Bidhaa za China, India na hata tende za Uarabuni husafiri kwa umbali mrefu na kwa gharama kubwa kufika Congo DRC, Afrika ya Kati, Angola na baadhi ya nchi nyingine nyingi.

Kama ujenzi wa mfereji huu mpya wa Suez na hasa kutoka mpaka wa Rwanda au Burundi kuelekea bandari ya Matadi nchini Congo DRC kwenye bahari ya Atlantiki ukifanikiwa, soko la Asia na lile la Magharibi mwa Afrika, na lile la bara la Amerika na Mashariki na Kati mwa Afrika yataunganishwa na kuwa mkombozi wa ukanda huu kama mfereji wa Suez wa Misri ulivyoleta unafuu kwa Ulaya na Amerika kuunganishwa na Asia.

Ujenzi wa miradi pacha ya SGR na umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ilipoanza kutekelezwa ilikuwa ndio mwanzo wa ndoto mpya ya Dk John Magufuli ya kuifanya Tanzania kuwa nchi tajiri na yenye uwezo wa kuanza kutoa misaada kwa nchi nyingine.

Utajiri wa Tanzania utaongezeka pia pale njia ya umeme wa ziada utasafirishwa sambamba na mfereji huu mpya wa Suez kuelekea nchi zote ambazo mfereji unaweza kufika, na kuwauzia umeme wale wenye uhitaji.

Ifahamike kuwa juhudi kubwa ya kuifanya reli ya kisasa kuwa mfereji mpya wa Suez iko mikononi mwa Tanzania. Bandari kavu ya Isaka ilipoanzishwa ilikuwa na lengo linalofanana na hili la ujenzi wa mfereji mpya wa Suez ambayo kwa hakika ilifanya kazi kwa ufanisi.

Isaka kwa muda ikawa ni muarobaini wa changamoto za mrundikano wa malori kwenye barabara zetu kutoka nchi nyingi zinazoizunguka Tanzania. Mizigo mingi ya nchi hizo ilichukuliwa kutokea bandarini hapo.

Majasusi wa kiuchumi kutoka ndani na nje ya nchi walifanya kila linalowezekana ili umaarufu wa bandari ya nchi kavu ya Isaka ufutike na hivyo kudhoofisha uchumi wa Tanzania.

Kimantiki, ni jambo lisiloeleweka kwa namna nchi inavyoingia gharama ya ujenzi na ukarabati wa barabara kutokana na uharibifu unaofanywa na wingi wa malori yenye uzito mkubwa yanayokwenda bandari ya Dar es Salaam kuchukua mizigo badala ya mizigo hiyo kuchukuliwa bandari kavu ya Isaka au bandari ya Mwanza.

Mashindano makubwa ya wafanyabiashara duniani ni kuzalisha na kusafirisha bidhaa kwa gharama ya chini kwa kadiri inavyowezekana ili zinapowafikia watumiaji ziuzwe kwa bei ndogo kwa lengo la kuwapa watumiaji nguvu au uwezo wa kununua bidhaa husika.

Ni kampuni au mfanyabiashara yupi asiyehitaji kusafirisha bidhaa kwa bei ya chini ili mzunguko wa bidhaa zake uwe mkubwa? Ni nani asingependa kusafirisha mizigo yake kwa kwa haraka?

Taarifa za kiuchumi na hata zile za wataalamu wanaojenga SGR duniani zinaonesha kuwa usafirishaji kwa kutumia reli ya kisasa hupunguza gharama kwa kiasi kikubwa.

Ninapoandika makala haya, bandari ya Kigoma katika ripoti zake inaonesha kuwa baadhi ya wafanyabiashara kutoka Kaskazini Mashariki mwa nchi ya Congo hunufaika kwa kusafirisha mizigo yao kwa reli ya kati kupitia Bandari ya Kigoma.

Kutoka Kigoma mizigo husafirishwa kwa meli mpaka Burundi na kisha DRC. Amani na usalama wa Tanzania ndio kivutio na mtaji wa kufanya biashara na mataifa yote yanayotuzunguka katika Ukanda wa Kati na Mashariki mwa Afrika.

Ukamilishwaji wa ujenzi wa SGR ya Tanzania inayobeba taswira ya mfereji mpya wa Suez katika ukanda huu utarahisisha usafirishaji wa mizigo kutoka Mashariki ya mbali na hata kutoka bara la Amerika.

Mizigo kutoka Amerika, India, Uchina, Japan na kutoka nchi nyingine nyingi kwenda Sudan Kusini, Uganda, Zambia, Malawi na nchi zote za ukanda huu itasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania na hivyo kukuza uchumi kama ilivyo kwa mfereji wa Suez kule Misri.

Mabilioni ya dola yanayopatikana Misri, yanaweza kupatikana nchini Tanzania kama tutaendelea kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli ili mfereji huu mpya wa Suez ujengwe na kukamilika.

Mwandishi wa makala haya ni mchangiaji wa gazeti hili.

Chanzo: Reli ya Kisasa; mfereji mpya wa ‘Suez’ EAC

MY TAKE:
Ukijumlisha na bomba la gesi kwenda Uganda na Kenya, na Umeme wa bwawa la Nyerere na uzalishaji wa Chakula unavyoongezeka kwa Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nashuku nyie hampendi kusoma. Wewe unaweza kukosa kusoma hio report. Hata hio paragraph ya pili unaweza kukataa kusoma. Wacha niipaste hapa chini. Katika mambo haya ya pesa na uchumi sijui unajisumbua kubishana na mimi kwa nini?

The levelized cost of power is project specific and must therefore be established for each individual project. Published data indicate an upper limit of about 13 US cents per kWh for geothermal projects. Kenya’s upper limit is about 10 US cents per kWh. There are many cost factors which may influence the levelized cost. The key among them are project size, well output, wells and plant costs, operation and maintenance costs, interest on debt, loan tenure, payback period and financial leverage. These factors may be categorized as installation or initial investment cost, operation and maintenance costs, capital and financing costs, economic factors costs and legal and regulatory costs.
Wapi report? Upper limit of 10 Cent per unit doesn't mean unit cost of electricity is 8 Cent, it can be >8 Cent to <= 10 Cent itself!

yaani wewe unifunze mimi juu ya Geothermal! Jesussss! kwenye mambo ya energy be fossil fuels/renewable don't even dare! Iwe geothermal, thermal, windpower, coal, solarpower au gas electric power generation plants au hata crude refinery au hata oil/gas pipeline na najua all ground heat extraction processes! tena koma!!! Nina map yote kichwani ya geothermal hotspots za Tanzania! narudia koma!
Wewe ndio utakoma na hio kiburi yako ya ujinga. Kama wewe ni expert wa geothermal mbona unasema katika post #30 eti wind na geothermal ya Kenya ni $20 cents per unit? Hio ni kumaanisha kuwa wewe sio expert wa geothermal. Fullstop.

Wewe ndio utakoma na hio kiburi yako ya ujinga. Kama wewe ni expert wa geothermal mbona unasema katika post #30 eti wind na geothermal ya Kenya ni $20 cents per unit? Hio ni kumaanisha kuwa wewe sio expert wa geothermal. Fullstop.
Nimeomba evidence najua tayari ile miradi ina migogoro mnalipia capacity charges yet haijawa connected to main grid yote mpaka sasa zaidi ya miaka miwili!

KENYA: Construction of the Menengai geothermal power plant is completed

By Boris Ngounou - Published on October 12 2020 / Modified on October 12 2020

KENYA: Construction of the Menengai geothermal power plant is completed ©Belikova Oksana/Shutterstock

The construction of the Menengai geothermal power plant in western Kenya has been completed. This is according to a report published on October 6th, 2020 by the African Development Bank (ADB), the main financier of the project. The Menengai geothermal power plant, with its 105 MWe, brings the national production of geothermal energy to 672 MWe, making Kenya the first African producer of this renewable energy source.​

Kenya is Africa’s largest producer of geothermal energy. The East African country has increased its production from 168 MWe to 672 MWe in 6 years. This performance was achieved after the completion of several projects, including the Menengai geothermal power plant in western Kenya. According to the project completion report, published on October 6th, 2020, the 105 MW power plant consists of 49 steam drillings.

The project will enable Kenya to make up its electricity shortfall, which it experienced severe power shortages in the late 2000s due to variability in hydropower generation. The country had to rely on expensive back-up thermal generation from 2011 to 2018. But with the commissioning of the Menengai geothermal power plant, 500,000 households, including 70,000 in rural areas of the country, will be connected to the electricity grid.

The AfDB has allocated 108 million dollars for the project.​

The construction of the Menengai thermal power station was made possible above all thanks in part to the African Development Bank (ADB), which is the main financial partner of the project, with a loan of 108 million dollars. The AfDB has in fact decided to support Kenya as part of its renewable energy development plan.

Adopted in 2011, Kenya’s electrification plan called “Vision 2030” is divided into three parts. The Medium Term Plan (MTP-I) 2008-2012, and those that followed, MTP-II (2013-2018) and MTP-III (2018-2022). These different phases plan to increase the country’s power generation capacity to 5,521 MW by the end of 2022. They also aim to promote the development and use of renewable energy sources in order to create a reliable, good quality and cost-effective electricity supply system to support industrial development.

Nimeomba evidence najua tayari ile miradi ina migogoro mnalipia capacity charges yet haijawa connected to main grid yote mpaka sasa zaidi ya miaka miwili!
Uko nyuma sana. Eti ni mradi gani haijakuwa connected to the grid?

Wewe ndio utakoma na hio kiburi yako ya ujinga. Kama wewe ni expert wa geothermal mbona unasema katika post #30 eti wind na geothermal ya Kenya ni $20 cents per unit? Hio ni kumaanisha kuwa wewe sio expert wa geothermal. Fullstop.

bado hujanipa evidence ya kwamba unit cost ni $8 Cent! na sijasema mi ni expert ila huwezi nifundisha kuhusu anything on geothermal! Pricing depends on agreements made by different stakeholders n i will not hear hearsays za ati unit cost is 8Cent till i see a concrete evidence!

Mind you Kenyapower that is not a power generator itself, is to buy from Olkaria I & II and Menengai investors and distribute to final users, now get me a unit cost of power in Kenya say it how much do u pay for power in ur house! I am 100% sure you pay 20Cent per unit!

Kwani hii sio evidence? Kwanza inatoka from Kengen.

"https://t.co/UMnI1PcoLh">pic.twitter.com/UMnI1PcoLh
— KenGenKenya (@KenGenKenya) June 16, 2020

That's a cost of generation that Kengen and those stakeholders at Olkaria I & II plus Menengai produce then there comes Kenpower that redistribute to ur door in ur house at a unit cost of $20Cent!

Kwani hii sio evidence? Kwanza inatoka from Kengen.

"https://t.co/UMnI1PcoLh">pic.twitter.com/UMnI1PcoLh
— KenGenKenya (@KenGenKenya) June 16, 2020

Kengen sells to a distributer called Kenpower right? Now get me a unit cost in ur house meaning a cost u read from meter in ur house! In any power industry there is Upstream, midstream and lowstream operators dealing with exploration, generation, redistribution and commercialization! Boy get to know this before u argue with me!

bado hujanipa evidence ya kwamba unit cost ni 8 Cent! na sijasema mi ni expert ila huwezi nifundisha kuhusu anything on geothermal! Pricing depends on agreements made by different stakeholders n i will not hear hearsays za ati unit cost is 8Cent till i see a concrete evidence!

Mind you Kenyapower as not a power generator is to buy from Olkaria I & II and Menengai investors and distribute to final users, now get me a unit cost of power in Kenya say it how much do u pay for power in ur house! I am 100% sure you pay 20Cent per unit!
Wewe umechanganyikiwa na unajaribu kubadilisha debate. Sasa umeanza kuongea kuhusu cost per unit ambayo consumer anakuwa charged na Kenya power. Jikite kwenye mada. Hapa tunaongea kuhusu cost per unit ya Geothermal. Yaani kwa lugha ya kitaaamu "Kengen inaproduce 1 Kwh ya geothermal kwa pesa ngapi?". Kengen wenyewe wamekuambia hapa chini kuwa ni $8 per Kwh lakini umeamua kuignore hii tweet kabisa.

"https://t.co/UMnI1PcoLh">pic.twitter.com/UMnI1PcoLh
— KenGenKenya (@KenGenKenya) June 16, 2020

Wewe umechanganyikiwa na unajaribu kubadilisha debate. Sasa umeanza kuongea kuhusu cost per unit ambayo consumer anakuwa charged na Kenya power. Jikite kwenye mada. Hapa tunaongea kuhusu cost per unit ya Geothermal. Yaani kwa lugha ya kitaaamu "Kengen inaproduce 1 Kwh ya geothermal kwa pesa ngapi?". Kengen wenyewe wamekuambia hapa chini kuwa ni $8 per Kwh lakini umeamua kuignore hii tweet kabisa.

"https://t.co/UMnI1PcoLh">pic.twitter.com/UMnI1PcoLh
— KenGenKenya (@KenGenKenya) June 16, 2020

In Tanzania, after a JNHPP completion Tanesco will then owns the plant just like Kidatu, Kihansi n Kinyerezi meaning Tanesco will produce then redistribute before commercialize the power to final user a reason there will never be a time ur power will be cheaper than ours! JPM sent all those private power producers packing!

That's a cost of generation that Kengen and those stakeholders at Olkaria I & II plus Menengai produce then there comes Kenpower that redistribute to ur door in ur house at a unit cost of 20Cent!
Kwanza Menengai haiproduce any power. Najua hukuwa unajua hilo. GDC wamechimba steam wells pale ila kiwanda cha umeme bado hakijaanza kujengwa.

Pili, kama unataka kujua distributor (Kenya Power) analipisha consumer pesa ngapi per Kwh basi hio ni discussion nyingine kabisa na unavyosema ni ukweli kuwa Kenya Power anaweza kucharge hata hio $20 per Kwh uliyotaja. Ila kumbuka mkuu kuwa Kenya power inanunua umeme kutoka wind, solar, thermal, hydro, geothermal kutoka Kengen na IPPs. Sasa kumbuka pia kuwa thermal hapa Kenya ndio the most expensive power source na charges zake ni $20 cents per kwh.

Halafu kenya power pia wanainclude foreign exchange cherges ya importation of heavy fuel ambayo hutumika kuendesha mitambo za thermal power. Kuna taxes na fixed standing charge. Yaani charges za Kenya Power iko juu kwa sababu ya hizi charges zote. Ila kinachochangia bei ya umeme kuwa juu ni thermal power ($20 per kwh) na foreign exchange charge.

Kwanza Menengai haiproduce any power. Najua hukuwa unajua hilo. GDC wamechimba steam wells pale ila kiwanda cha umeme bado hakijaanza kujengwa.

Pili, kama unataka kujua distributor (Kenya Power) analipisha consumer pesa ngapi per Kwh basi hio ni discussion nyingine kabisa na unavyosema ni ukweli kuwa Kenya Power anaweza kucharge hata hio $20 per Kwh uliyotaja. Ila kumbuka mkuu kuwa Kenya power inanunua umeme kutoka wind, solar, thermal, hydro, geothermal kutoka Kengen na IPPs. Sasa kumbuka pia kuwa thermal hapa Kenya ndio the most expensive power source na charges zake ni $20 cents per kwh. Halafu kenya power pia wanainclude foreign exchange cherges ya importation of heavy fuel ambayo hutumika kuendesha mitambo za thermal power. Kuna taxes na fixed standing charge. Yaani charges za Kenya Power iko juu kwa sababu ya hizi charges zote. Ila kinachochangia zaidi ni thermal power ($20 per kwh) na foreign exchange charge.

wacha ujinga nimetaja $20Cent per KWh or unit cost of $20Cent ! Sijataja cost ya $20 per unit or $20 per KWh! Fool, naona Maths ilikushinda!

Kwanza Menengai haiproduce any power. Najua hukuwa unajua hilo. GDC wamechimba steam wells pale ila kiwanda cha umeme bado hakijaanza kujengwa.

Pili, kama unataka kujua distributor (Kenya Power) analipisha consumer pesa ngapi per Kwh basi hio ni discussion nyingine kabisa na unavyosema ni ukweli kuwa Kenya Power anaweza kucharge hata hio $20 per Kwh uliyotaja. Ila kumbuka mkuu kuwa Kenya power inanunua umeme kutoka wind, solar, thermal, hydro, geothermal kutoka Kengen na IPPs. Sasa kumbuka pia kuwa thermal hapa Kenya ndio the most expensive power source na charges zake ni $20 cents per kwh. Halafu kenya power pia wanainclude foreign exchange cherges ya importation of heavy fuel ambayo hutumika kuendesha mitambo za thermal power. Kuna taxes na fixed standing charge. Yaani charges za Kenya Power iko juu kwa sababu ya hizi charges zote. Ila kinachochangia bei ya umeme kuwa juu ni thermal power ($20 per kwh) na foreign exchange charge.

Look i don't want u to waste my time again i prefer someone that at least does not misquote me i talk of $20 Cent per unit u talk of $20 per unit! For that case U have won my buddy! let me not waste my time! u wanted to teach me about geothermal!

Back
Top Bottom