Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT).

Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya kulipua mabomu naTanzania hakuna vita.

Sasa wanaanzisha chuo kikuu kingine cha kisiasa cha kwenda kuzslisha wasomi wa kilimo cha kuzalisha wasomi wa kujiuza mjini, kuendesha bajaji, boda boda, madalali, na watazamaji wa michezo ya simba na yanga.

Je serikali haioni inakwenda kuwekeza kwenye chuo kikuu kingine cha kuzalisha wasomi ambao hata serikaki imeshindwa kuwatumia?

Kwanini wasiboreshe chuo kikuu cha sokoine kwa kuanzisha campus ya kilimo huko butiama badala ya kuanzisha chuo kikuu kingine cha kilimo huko butiama?
Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya! Kazi ya Elimu siyo kuandaa waajiriwa!
Kazi ya Elimu ni kupanua watu vichwa then wapambane na mazingira ya Dunia hii basi!
Wewe akili uliyo nayo ni ya kukuwezesha kuvukia barabara basi!
Bado unahitaji KUPANULIWA!
 
Attachments

  • 67E8E69F-61CB-4C35-B893-210AED289774.jpeg
    67E8E69F-61CB-4C35-B893-210AED289774.jpeg
    25 KB · Views: 4
Back
Top Bottom