Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Daaah hiyo mikosi mkuu, kweli nakwambia inabidi uende kwa sangoma...akakuoshe na kusafisha nyota yako.
 
Mkuu wewe ni Rais wa chama ujuwe, hivi kile chama chako ulichokisajili kimefikia wapi, nahitaji kujiunga
 
jamaa anaonekana ni mtu huru sana. Licha ya matusi anayotukanwa kila uchwao lakini bado anaendelea kupost alichonacho. Then nimependa uthubutu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…