Shabani Hamisi, Mume wa Zamaradi Mketema aliyemtishia mwenzake kwa bastola afikishwa Mahakamani

Watu wanavyotoa maneno utadhani jamaa ameshahukumiwa😎👆👇
Mkipewa nyinyi bastora si mtaua hata mbu..🏃
Mwenetu huyu Tumsamehe/
Awekwe ndani kwa siku 30 nadhani akitoka atakuwa na Ilmu mzuri kabisa.
Tusitetee wala kuhalalisha jambo la hatari kama lile.

Dereva wa Daladala hapa DAR aliuwawa kwa risasi kwenye tukio kama lile na Marehemu Ditopile Ukiwaona Mzuzuri aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora enzi hizo za Kikwete.

Hizi silaha kama mkijua hamuwezi kujidhibiti msitembee nazo au msizimiliki.
 
Hivi hapo nimetetea au nimesema wanaotoa hukumu juu ya huyo jamaa..? Kwakuwa swala liko mahakamani yatupasa nini sisi kubwabwaja huku au sisi tu majaji..?
 
Watu hawapendezwi na maisha yake mkuu, chuki tu bila sababu, kwani aliemtishi Nape hadharani alitumia rungu?
Watu wanavyotoa maneno utadhani jamaa ameshahukumiwa[emoji41][emoji115][emoji116]
Mkipewa nyinyi bastora si mtaua hata mbu..[emoji125]
 
Ndo mana mi ctaki kumiliki mguu wa kuku maana mie sijuagi mikwara mikwara eti nikutishie tishie mi nakutandika kweli ya ubongo then tunagawana majengo ya serikali we unaenda segerea mm mochwari!
Ulivyo andika kwa mihemuko sasa!!!! Ona mpaka umejitanguliza wewe mwenyewe kuzimu na kumuacha asie na hatia kuendelea kula maisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi mnachuki na hamis kwa sabababu anakula zamaredi ficheni chuki zenu kwa mh hazbend wawatu.
 
Shabani Hamisi ambaye ni mume wa mtangazaji na mmiliki wa Zamarad TV, Zamaradi Mketema amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa na mashtaka ya kumtishia Venance John kwa bastola.
Yaani kashitakiwa peke yake??? Yule aliyekuwa anamfuata fuata na kumchochea na kumprovoke nipige nipige na kumtukana hana kosa lolote!!!!???? Kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha!! Mtu anayemfuata mtu mwenye silaha kila anapoenda na kumfokea nipige nipige hana kosa!!! Kweli kuna element za wivu hapo, wangeshitakiwa wote
 
Anyongwe tu
 
Hahahaahhaaaa mkuu wewe noma, yaani aliyetandikwa ya kichwa anaenda segerea halafu wewe uliyetandika unaenda mochwari? Noma Sana hiiii
Ndo mana mi ctaki kumiliki mguu wa kuku maana mie sijuagi mikwara mikwara eti nikutishie tishie mi nakutandika kweli ya ubongo then tunagawana majengo ya serikali we unaenda segerea mm mochwari!
 
Yaani kashitakiwa peke yake??? Yule aliyekuwa anamfuata fuata na kumchochea na kumprovoke nipige nipige na kumtukana hana kosa lolote!!!!???? Kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha!! Mtu anayemfuata mtu mwenye silaha kila anapoenda na kumfokea nipige nipige hana kosa!!! Kweli kuna element za wivu hapo, wangeshitakiwa wote
kumbuka kesi hapo ni matumizi mabaya ya silaha" sasa huyo unaye taka akamatwe alikua na silaha gani?
 
Back
Top Bottom