Shabani Hamisi, Mume wa Zamaradi Mketema aliyemtishia mwenzake kwa bastola afikishwa Mahakamani

Shabani Hamisi, Mume wa Zamaradi Mketema aliyemtishia mwenzake kwa bastola afikishwa Mahakamani

Funga kabisa huyo kichaa, nyang'anya bastola, piga ndani miaka 5 au zaidi atanyooka, pumbaf sana hilo jamaa i wish i could be Judge.. Hiii hiiii😡😡😡😡
 
Niliiona gari ya Zamarad TV Mahakama ya Kinondoni leo. Toyota Alphard. Kumbe walikuja kufanya coverage.

Admissibility of electronic evidence. Hapo ndipo ngoma nzito kwa Jamuhuri kuicheza.
 
Funga kabisa huyo kichaa, nyang'anya bastola, piga ndani miaka 5 au zaidi atanyooka, pumbaf sana hilo jamaa i wish i could be Judge.. Hiii hiiii😡😡😡😡
Akifungwa mkewe utaenda kumkuna? Kengemaji ww
 
Hivi zamaradi bado anaendelea na Tv katika hiki kipindi kigumu kwake ? Maana anakapenda sana hako kajamaa
 
Jamaa kafala sana, kanadhani enzi ya awamu ya Nne uzuri. Nna uhakika hata Mkulu aliiona video haiwezekani aiona IGP mkulu asiione!
Kwa hiyo mkuu ndo atakuwa namhukumu mahakamani,ninachofahamu mimi hizi ni kesi nyepesi sana.
 
Funga kabisa huyo kichaa, nyang'anya bastola, piga ndani miaka 5 au zaidi atanyooka, pumbaf sana hilo jamaa i wish i could be Judge.. Hiii hiiii😡😡😡😡
Wivu utawaua angekuwa mtu wako wa karibu ungeongea huo utumbo..
 
Uyo zamaradi mwenyewe hata chura hana alafu watu wawe na chuki nae!!!!!
We we mwenye mwanamke mwenye chura huna hata baiskeli wenzako hawaangalii chura akili ndio inaangaliwa....hukuona jasiri muongoza njia alivyolia kama MTT? Unadhan alikuwa analilia chura? Wivu utawaua.
 
Back
Top Bottom