Shabani Hamisi, Mume wa Zamaradi Mketema aliyemtishia mwenzake kwa bastola afikishwa Mahakamani

Shabani Hamisi, Mume wa Zamaradi Mketema aliyemtishia mwenzake kwa bastola afikishwa Mahakamani

Ndo mana mi ctaki kumiliki mguu wa kuku maana mie sijuagi mikwara mikwara eti nikutishie tishie mi nakutandika kweli ya ubongo then tunagawana majengo ya serikali we unaenda segerea mm mochwari!
Yaani umtandike mtu risasi ya ubongo halafu apelekwe Segerea?!
 
We we mwenye mwanamke mwenye chura huna hata baiskeli wenzako hawaangalii chura akili ndio inaangaliwa....hukuona jasiri muongoza njia alivyolia kama MTT? Unadhan alikuwa analilia chura? Wivu utawaua.
Yaani baiskeli? I feel sorry for you son
 
Watu hawapendezwi na maisha yake mkuu, chuki tu bila sababu, kwani aliemtishi Nape hadharani alitumia rungu?
Kwahiyo unamaanisha kuwa watu wajinga Kama hao wanaowatishia kuwaua wenzao kwa siraha waachwe kwasababu tu yule aliyemtishia Nape hakuchukuliwa hatua!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa ni bushmen
Unamtandika anaenda Segerea wewe Mochwari au unajiua mwenyewe???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au unampa akuue aende segerea wewe uende mochwari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa nasikia alikuwa mlisha sungura kwa majaliwa ndo maana anakuwa na nyodo za kingese
 
Hamuulizi huyo jamaa wa lori alifanya nini, mambo ya road yanauzi sana wakati mwingine. Kuna Siku dereva wa roli la mchanga alihama Barbara na kunigonga Kwa mbele Kwa maksudi kabisa baada ya kufail break na kuona mbele yake kuna Lori. Namuuliza mbona umehama kabisa anasema Sasa ulitaka nifanyaje. Kesi haikuwa ndogo baada ya hapo.
 
Back
Top Bottom