Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Wee,sema kweli? Wakulima mnangoja nn jamen
 
Coaster unaiita bus?
 
Labda kama alipata Basha.
Miaka 19 upate pesa ya kununua basi tena nchi kama Tz?
Wakati kuna vijana wana miaka 30 lakini hata wembe wa kunyolea mavuzi anamuomba baba/mama yake.
Aache utani aisee.
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sijui nakwama wapiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tusichokijua:[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mkuu kuingia jf ndo utajiri?,
Haiingii akilini uwe na uwezo wa kumiliki device ya kukuwezesha kuingia jamiiforum.., alafu ushindwe kumiliki hata baiskeli..,labda ukisema upendelei kumiliki baikeli hapo waweza kueleweka

Alafu kama una miaka 50+ kama ulivyotanabaisha, lakini bado una akili ya kutambua na kulog in jamiiforum..,hapo naweza kupata picha japo kidogo kwamba angalau wewe ni mtu wa aina gani .

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…