Shabiby, baadhi yetu tunazipenda huduma za magari yenu, kwanini hamna route ya Dar/Dom - Mwanza? Hamtutendei haki

Hi promo ya kiwango cha electronic, Shabib amekuona maana ni mtembezi mkuu wa jukwaa hili
 
Mhh Mkuu safari ndefu kama hiyo huwa siunganishi. Mie huwa naikata. Dar - Dom, kisha kesho yake ndio naanza tena Dom-Mwanza.

Magari ya kuunganisha yanakuwa na speed za ajabu na usalama barabarani ni mdogo sana kutokana na kutaka kuokoa muda.
Nikienda Mwanza ni nachukua ABC upper class nalala singida,then hapo nachukua basi lingine
 
BM labda route ya Dar-arusha.
Ila route ya Dar-moro sijawapenda, wahudumu wao wana lugha chafu za kihuni.
 
Moshi kwenda Mwanza mbn hamwanzishi safari huko,? Kupitia Arusha.
 

Shabiby ni muoga sana wa ruti ndefu anapenda fupi fupi…aliwahi anzisha ruti ya Dom-Nairobi akakimbia baada ya wiki mbili tu….kuna Arusha -Mbeya akaikimbia….tena hii ruti ina magari yamechoka sana haina basi nzuri..kuna ruti Arusha- Moro alipiga wiki tu akakimbia.
 
Uzi wa wasafiri huu
Naendelea kusoma comments
 
Sijui issue itakuwa ni nini? Anahofia magari kuwahi kuchakaa au rote ndefu inakuwa haina maslahi? Mie nadhani kwa kiwango cha magari yake akienda popote atapata soko hata kama nauli itakuwa kubwa maana kwa sasa watu tunaangalia quality of service na siyo issue ya gharama tu.
 
Dar - Mwanza panda Abood angalau kidogo wanaendana na vigezo ulivyoweka ukilinganisha na kampuni nyingjne.
Marco Polo scania stability yake ipo juu kuliko Mchina higer au yutong


Dar - Mbeya panda Kilimanjaro , ukiwa hauna haraka sana chukua Tazara
 
endesha tu mkuu kama ukihis ukipanda bus jingine roho itaacha mwili

ki uhalisia kama life limekaa poa ni vyema ukaendeaha mwenyewe kuliko kupanda bus

FAIDA YA KUENDESHA

Utafuata sheria na taratibu zote ulizoainisha hapo ispokuwa swala la barabara tu ndio itakuwa changamoto kwako
 
Dar - Mwanza panda Abood angalau kidogo wanaendana na vigezo ulivyoweka ukilinganisha na kampuni nyingjne.
Marco Polo scania stability yake ipo juu kuliko Mchina higer au yutong


Dar - Mbeya panda Kilimanjaro , ukiwa hauna haraka sana chukua Tazara
Ahsante mkuu. Tazara ndio naifahamu leo. Hii ni kampuni ipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…