Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
SATCO huduma zao za kawaida sana..Ahsante kwa taarifa Mkuu. Lakini Shabiby imekuwepo sokoni kwa muda mrefu sana na sijui kwanini hiyo route hawakuwahi kuifanyia safari.
Hao jamaa SATCO vipi, na wao wana magari/huduma nzuri?
Ahsante mkuu. Tazara ndio naifahamu leo. Hii ni kampuni ipi mkuu?
Ahsante kwa taarifa mkuu.
Inaingia Singida saa ngapi? Na nauli yao Sh ngapi?Nikienda Mwanza ni nachukua ABC upper class nalala singida,then hapo nachukua basi lingine
Mara nyingi gari za Dar - Mwanza hupita Singida mida ya sa 10 hivi jioni. Kama sijakosea.Inaingia Singida saa ngapi? Na nauli yao Sh ngapi?
Sio rahisi! labda saa 12:00Mara nyingi gari za Dar - Mwanza hupita Singida mida ya sa 10 hivi jioni. Kama sijakosea.
Dar Mwanza, Shabiby amewahi kufanya hiyo route enzi hizo mpinzani wake akiwa Ally's Tanzania leader...alikuwa anatumia yale ma Youtong F13 marefu. Ila hakudumu sana..akaachia ruti.Ahsante kwa taarifa Mkuu. Lakini Shabiby imekuwepo sokoni kwa muda mrefu sana na sijui kwanini hiyo route hawakuwahi kuifanyia safari.
Hao jamaa SATCO vipi, na wao wana magari/huduma nzuri?
Natamani kujua sababu kwanini route ndefu Shabiby huwa hapendelei? Je, inakuwa ni maslahi ndo hakuna ama zinachosha gari?Dar Mwanza, Shabiby amewahi kufanya hiyo route enzi hizo mpinzani wake akiwa Ally's Tanzania leader...alikuwa anatumia yale ma Youtong F13 marefu. Ila hakudumu sana..akaachia ruti.
Unaijua Irizar au unaisikia tu mkuu??Wala sio mchina zile kureed ni scania marcopolo irizar, gari luxury sana lakini sio rafiki kwa Africa
Dar-Mwanza, Abood anapeleka ile mingarangara, marcopolo ya zamaaaniiDar - Mwanza panda Abood angalau kidogo wanaendana na vigezo ulivyoweka ukilinganisha na kampuni nyingjne.
Marco Polo scania stability yake ipo juu kuliko Mchina higer au yutong
Dar - Mbeya panda Kilimanjaro , ukiwa hauna haraka sana chukua Tazara
Wacha ubishi, ni irizar zileUnaijua Irizar au unaisikia tu mkuu??
Zile kureed hunters mbili zenye injini nyuma sio Irizar
Ila kweli anapata 56000 badala ya 45000Dom Dar nauli 28000
Dar Mwanza nauli 45000
Hapo kwa akili ndogo ni Bora uishie Dodoma
Mkuu online system Ni nzuri tumechoka kuongezewa buku mbili mbili kwenye nauliShabiby ndiye pekee mwenye sifa ya kutoa huduma za safari za barabarani hapa nchini! Nilikuja Moshi kwa wife hapa chap siku mbili. Nikajiskia homa kali sana ila nikaona sio kesi,kesho naweza kusafiri. Nikaingia online fasta kikachagua siti yangu nikajaza taarifa fupi chap kwa haraka nikalipia tiketi yangu!
Jioni homa imezidi,nikalazwa hospitali nikabugia drip 3 za maji chapchap na madawa kibaao na mashart kibao ya daktari. Saa moja usiku niko kitandani nikaona kabisa safari haiwezekani. Kikapiga Shabiby Customer care nikawaeleza. Kwanza nikapewa pole sana na yule mrembo,kisha nikapewa namba ya Mrema Agent wao hapa Moshi
Nilimpigia huyu mwamba huku nikiongea kwa taabu sana. Mrema akanipa pole sana. Akanishauri bro endelea kupumzika na kuzingatia maelekezo ya daktari...unataka tuisogeze safari yako mpaka lini? Au unataka tuifute? Nikamwambia isogeze mpaka ijumaa! Mrema akasema hilo limefanyiwa kazi jomba...limeishaa!
Sasa ijumaa yenyewe leo bado sijakaa vizuri. Kwa ubora wa huduma waliyonipa nimeamua tu niiache hiyo tiketi na kumzawadia buree! Yaani atajua atafanyia nini! Mimi nikipona tu naingia Online nakata tiketi nyingine fastaaa! Shabiby ninyi mnatoa huduma kwa viwango vya kimataifa! Nimeanza kusafiri nanyi toka niko kidato cha kwanza na sijawahi kupata taabu
Meneja wa hii kampuni aongezewe mshahara mara mbili na apewe miaka mitano tena!