Siku hizi umekewa ukiwasema sana wanasiasa wenzio na wakati mwingine hata Serikali. Hoteli Esperenza ya ndugu yako imekuwa kiini cha kupika majungu na wewe mwenyewe ukishiriki.
Siku hizi umekuwa wazi sana kuonesha namna ulivyojaa rohombaya na tamaa za utajiri ambao sio halali kivileeeee! Siku umempiga Mfanyakazi wako pale kwenye kituo chako cha mafuta kilichopo kwenye Kituo chako cha mabasi na kutishia kufuata bastola yako kwenye gari ndiyo ilikuwa mwanzo wa mimi kufuatilia mwenendo wako. Mbaya zaidi una majidai sana wewe. Mbona matajiri wa kweli hawana hali ya kujikweza na kutaka kutambulika kama wewe. Ni ajabu sana yaani kuleta tu mabasi mapya eti hadi yatangazwe na akina Mjakuwu. Majikwezo tu wala hamna cha maana.