Shabiby hata wewe huna lolote, you are taking advantage TU!

Kwani kasema uwongo,, hujui nape ndo alikuwa natumika kukutana na wajumbe wa Hkuu na mkutano mkuu mikoani kufikisha mipango ya January..lakini zaidi kwenye kifuatilia simu usalama walikama mipango mizima ya kumukwamisha mama ili wachukue wao kwa kusema eti ni Mzanzabri hana uchungu na Bara
 
Huyu amesababisha watu wamefilisika kwa kujidai mjuaji na kujua mambo ...
 
Siku umempiga Mfanyakazi wako pale kwenye kituo chako cha mafuta kilichopo kwenye Kituo chako cha mabasi na kutishia kufuata bastola yako kwenye gari ndiyo ilikuwa mwanzo wa mimi kufuatilia mwenendo wako
Hawa hiyo ngozi dawa yao ipo jikoni
 
Wewe ni CHAWA wa Mtumbuliwa
 
Napenda sana Shabiny anavyowachana Wanasiasa Uchwara including mawaziri. Kweli nimeamini, pesa inamwongezea mtu kujiamini.
 
Aisee mna kazi,yaani utadhani you are walking demons kwa tabia zenu,za hovyo hovyo hizi.This is complete evil.You think of the World and materialism only,no, mnahitaji mabadiliko tena makubwa.Tafuta amani na watu wote mkuu,this is not the way.
 
Shabiby kafanyaje sasa wengine mnatumwa na mafisadi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…