Shabiby hata wewe huna lolote, you are taking advantage TU!

Na wewe hupendi akijivunia chake?
 
Kwani kuisema serikali ni kujikweza na hao anaowasema kwani kawasingizia anyway ni watoto wa mama mmoja ngoja mparuane
 
Kwani kuisema serikali ni kujikweza na hao anaowasema kwani kawasingizia anyway ni watoto wa mama mmoja ngoja mparuane
 
Adui mkubwa wa taifa ni umasikini ,ujinga unasingiziwa tu
 
We Muhongo sana , msiwatwishe zigo zito watu hawa.
 
Shabiby kafanyaje sasa wengine mnatumwa na mafisadi humu
Upo ukweli katika comment yako kwa kuwa kwa kiasi fulani anawachachafya mafisadi.However considering his background, sikulitegea hili,nilitegemea ale nao sahani moja.
 
Mbona hajawai kwenda kwao uarabuni, au hamjui baba yake halisi anakotokea huko uarabuni!?
Kwao tanzania sio uarabuni kuwa na rangi nyeusi haukupi uhalali wa wewe kuwa mtanzania na wewe nenda kwenu burundi,mungu alimuumba adamu na eva wakiwa watu weupe na akawaambia wakazaane waitawale dunia tanzania ikiwa ndani ya dunia wewe ulizaliwa na nani? Ikiwa adamu na eva weupe nchi gani umeambiwa na mungu ya kwako
 
Aisee mna kazi,yaani utadhani you are walking demons kwa tabia zenu,za hovyo hovyo hizi.This is complete evil.You think of the World and materialism only,no, mnahitaji mabadiliko tena makubwa.Tafuta amani na watu wote mkuu,this is not the way.
Ungeona namna alimvyonyanyasa yule mfanykazi wake mlinzi pale kwenye kituo chake cha mafuta, usingeweza kuwa na comment kama hiyo. Mie mwenyewe mtu wa amani sana lakini siku hiyo ustaarabu ulinipotea kabisa. Huwezi kaa ukavumilia mnyonge akipigwa makofi kirahisi na mtu kwa kuwa tu huyo mtu ni tajiri na hawezki kufanywa chochote!
 
Sasa tatizo lako ni nini hasa?
 
Hufanyi uovu kwa kuwa mtu mwingine kafanya uovu mkuu,hapana,tunalipa baya kwa jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…