Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
Hatimaye, mabasi ya kisasa ya Shabiby Line yameanza safari zake za kutoka Dar kwenda Tanga na kutoka Tanga kwenda Dar kila siku iitwayo leo.

Safari hizo zimeanza Wiki iliyopita na tayari abiria wa Tanga-Dar na Dar -Tanga wameanza kuchangamkia usafiri huo kutokana na ubora wa mabasi hayo toleo la kisasa.

Kila basi lina choo ndani. Kwa hiyo hakuna 'kuchimba dawa.' Kila basi lina intaneti ya bure (Wifi). Kila basi lina siti yenye runinga. Kila basi lina nafasi ya kutosha kati ya siti na siti, hivyo kumwezesha abiria kunyoosha miguu kwa uhuru wa kujiachia.

Abiria waliyokuwa wakipanda basi hiyo kwenye kituo cha mabasi hayo, Barabara ya 13, Tanga walisema Shabiby ameondoa aina fulani ya mazoea hasa kwenye kijali muda wa kuondoka.
Pia abiria hiyo alisema: "Mimi leo narudi Dar na basi hilihili la Shabiby ambalo nilikuja nalo. Ukweli ni kwamba, halisimami hovyo kila kituo kama baadhi ya mabasi ya huku ambayo sitaki kiyataja majina."
Utaratibu wa safari za Shabiby Line upo wazi tayari kama ifuatavyo;

KILA SIKU:
Dar - Tanga saa 11:00 alfajiri.
Dar - Tanga saa 3:30 asubuhi.
Dar - Tanga saa 6: 00 mchana.
Dar - Tanga saa 3:30 usiku.
KILA SIKU:
Tanga - Dar saa 3:30 asubuhi.
Tanga - Dar saa 8:00 mchana.
Tanga - Dar saa 3:00 usiku.
Tanga - Dar saa 6:00 usiku.
 
Na huku sumve jamani tukumbukeni
 
W
Shabiby kwa kuzingatia muda wapewe maua yao kwa kweli

Sema wiki kama mbili zilizopita wamenifanyia uhuni sana kiasi nilitaka nilete uzi humu jukwaani kwa upuuzi ule wa huduma wanazozitoa na zile namba wanazoziweka kwenye huduma za kupiga simu.
 
ABOOD
BM
SHABIBY wameingia tanga kuondoa dharau za wenyeji kwenye hii route watu wana magari mabovu hawataki kubadilika kila kukicha na wana ringa sana
 
Kuna makampuni yatamfuata ndugu yao Raha Leo muda si mrefu, kutokana tu na yenyewe kuendekeza mazoea kwenye biashara.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Back
Top Bottom