Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa barabara. Akichukua ukandarasi wa barabara, hana hata mia aliyokuja nayo. Serikali tena imetunga sheria, inampa advance.
Akimaliza kupewa advance, akichelewa kulipwa, anadai penati. Alafu sheria imetungwa na Watanzania! Hii nchi ina rushwa ya aina gani? Hivi watu mbona hawajitambui? Yaani mimi kama... haina uongozi, 2030 na mimi nitagombea. Subiri."