Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hiko chama kikisikia kunyonga mafisadi watamtoa yeye kabla hajafika hapo
Ulaya hawanyongi wala rushwa lakini rushwa inashughulikiwa kikamilifu.
acha upotoshaji mwepesi hivyo gentleman plz 🐒Adai Yeye atagombea Urais 2030 na kipaumbele Chake ni Kutokomeza Rushwa.
Huyu ni Bilionea, ambaye anaumizwa na Rushwa.
Unfortunately tunaye mwanamke wa kizanzibar, Yéye anawaambia Wala Rushwa na Mafisadi 'kuleni kwa kwamba yenu,, hamuoni aibu, Stupid, Watajwe waone aibu, Mimi Sina uwezo wa kuchunguzwa mabilion ya Uwanjan wa Mpira Arusha"...........
Aiseee kama Kuna Makosa Magufuli alitufanyia, ni Kuiruhusu huyu mwanamke awe MAKAMO!!!
Kikwete ndiyo ameleta balaa lote hili nchi inaangamia yeye anakenua kenua kama zuzu.Adai Yeye atagombea Urais 2030 na kipaumbele Chake ni Kutokomeza Rushwa.

Atasubiri sana