Shabiby yapata ajali usiku wa kuamkia leo, mmoja afariki

INAUMA SANA

KUNA KITU KIMEPUNGUA KWENYE UKAGUZI BARABARANI?

MBONA KWA MZEE AJARI HAZIKUWA NYINGI HIVI?
Msiwe mnaandika tu JF bila kufanya utafiti,kwa Idadi ya Mabasi yanayosafirisha abiria Nchi nzima kwa siku,ufinyu na ubovu wa barabara zetu hapa nchini,uchache wa Askari Polisi mabarabarani,NI UKWELI kwamba Ajali zinazotokea ni chache sana na hilo ni jambo la kumshukuru Mungu
 
Kwamba zilipaswa kutokea ngapi kwa utafiti wako.
 
Usitufanye wajinga

Sio ubovu wa barabara ni ubovu wa madereva
 
Acha kutete vitu vya kijinga ndugu, madereva wengi wa mabus wako rough sana overtaking za hovyo sana huwa wanafanya na akikuona una kagari kadogo ndiyo anakuletea tu anajua utamkwepa. Ni risk saa uongozana na mabus
Sasa nilichotetea ni nini?una kiwango gani cha Elimu maana hata ulichoandika hakieleweki,ulitakiwa uandike uendeshaji mbaya wa madereva nao ni sababu inayosababisha ajali,mimi point yangu ni kwamba ajali bado ni chache kulinganisha na hali halisi
 
Hii wiki imeanza vibaya

Jana ajali ya coaster na Lori la kokoto, watu 9 wameripotiwa kufariki Dunia

Leo Tena ajali ya Shabiby na Lori la mizigo.

Tuendelee kuomba mwisho mwema, maana muda wowote unaweza kuaga maisha kupitia hizo ajali ama sababu nyinginezo 🙌😭
 
No mkuu accident its someone fault, haina bahati mbaya, barabara mbovu na finyu, hazina alama zinazoonekana vema, human errors na speed za kijinga ni moja ya tatizo, traffic officer's Tanzania ni wengi mno,kutoka Dar hadi Tunduma almost 1000km,unakutana na check points zaidi ya 50!,kutoka Pretoria to cape Town almost 1400km, hakuna check point hata moja!,speed ipo controlled na speed camera's ,zingine zikipima muda uliotumia kuendesha from point A to B(hii nasi tungeweka pale Mikumi national park T1)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…