Na mie nimewaza hivyo Mtani. Kuna Post #74 OKW BOBAN SUNZU anasema ameshashindwa kuendelea na safari miguu haiwezi. πππ
Mtu kwa akili timamu na hesabu za haraka haraka huwez tembea mbeya Hadi dar...kwa gari tu mtu unakaa asbh saa 12 Hadi usiku saa2 au 3 na gari inakua speed Sana,,,Ameshindwa kuendelea baada ya kuchoka miguu,ameomba asaidiwe nauli ya kufila morogoro kuungana na lialia wenzie. Ushabiki wa mpira raha sana
Nasikia safari ishamshinda huko anaomba msaada wa nauli. Teh teh.Endeleeni kumjaza upepo...mwishowe atajaa atapasuka
Mumjaze hivyohivyo atembee tena na kurudi
Akifika inabidi mumpe kifuta jasho Sasa kwa kazi ya kizalendo ya kutembea toka mbeya...
Huyu nahisi aliondoka kwa kutoroka kwao/kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa hajawahi kufika dar huyuDuuh! Ye alijua kutoka Mbeya hadi DSM ni kama anakwenda shamba au sokoni.
Pole kwake. Haya mutowe sasa hiyo nauli ili mshabiki wenu afike DSM.
Na kweli Kaka wa mie. Ila usawa huu tutayaona mengi sana yaani.Dada Wa mie huyu jamaa ataibukia Dar ghafla kufotoa picha nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia safari ishamshinda huko anaomba msaada wa nauli. Teh teh.
Alikuwa anatafuta Kiki tu hapo. πππKumbe Kuna sehemu anachukua usafiri,Kwa hiyo hapo kulikua na haja gani ya kutembea???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajielewiii.. Nadhani hata mbwa anajielewaa kuliko jamaa!![emoji23][emoji23][emoji23] Anataka afanye kama wa manyaraa... Akwendee hukooKwa nini umwite mbwa?wewe ni mbwa pia mpaka ukajua kila mtu mbwa?
πππ noma sanaAtakuwa hajawahi kufika dar huyu
Mbeya maajabu hayaishi..
Mara mvua za barafu ,Mara majitu yanataka tembea kwa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Yabidi mkubali tu hizo aibu Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anazidi kututia aibu watu wa mbeya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo atakuwa a najipa moyo kwamba MO atamtumia nauli
Amebuni njia rahsi ya kupata nauli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SI ajabu hata njiapanda ya iringa mjini hajafika,litakua lipo makambako huko
AF wenzie huku wanamnafikia kwamba atafika tu,safari hiihii ya mbeya dar nayoijua mm ,,kwa mguu!?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mtani kutembea kitu ingine. Safari za ndani ya mji inawezekana ila nje ya hapo huwa ni wengi ni fiksi tu.Hao jamaa wa kutembea huwa siwaamini, katikati ya safari anachukua mchuma.
Kabisa Mtani kutembea kitu ingine. Safari za ndani ya mji inawezekana ila nje ya hapo huwa ni wengi ni fiksi tu.
Kabisaaa. Ila keshaipata hapo maana ametangazwa sana mitandaoni.Anataka air time tu, hana kingine.
Mtani vipi unaionaje mechi ya Simba na Wacongo?
Angekuwa mzungu mngeona kawaida kwakuwa n mbongo mna hate.... sio poa watanzania.... tumsupport mwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Michigan lini Mkuu!Siku ya Leo yuko mafinga ko iringa anaingia kesho dar anafika vizur tu
Huko mbali sana mkuu Ruaha tu anaweza akaliwa Kuna fisi pale si mchezoPale mikumi Simba watamfanya kitoweo.