Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Hao ndo watu ukipanga nao kitu hawayumbiyumbi hata mbele ya polisi
 
Dah, wanaume wa Dar jamani....sasa Rooney sijuwi alijisikiaje na ile harufu ya kwapa. Basi hapo kijana wa Dar kaenda kuwasimulia wenziwe wanaomshikisha ukuta kuwa yeye ni jasiri ili wamgombanie huko selo.
 
Midadi ya michezo ni hatari kwa afya ya akili. He was very much okay but not right to that extent! Hahahahaaa! Mjomba katufundisha ka-msemo ka - kinyambwa!
 
Nasikia ilikuwa miongon mwa-bet za sportpesa na ilikuwa na odd nyingi tu

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Shabik wa man u kwenye
Ubora wake

Hata mm ozil atu bongo
Sa hii lazma nihakikishe
Nmempa mkono wa salam

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
 
Dah, wanaume wa Dar jamani....sasa Rooney sijuwi alijisikiaje na ile harufu ya. kwapa. Basi hapo kijana wa Dar kaenda kuwasimulia wenziwe wanaomshikisha ukuta kuwa yeye ni jasiri ili wamgombanie huko selo.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kabisaa unaenda kumkumbatia kidume mwenzio!!!??? Hahahaaaa siku akiombwa asikasilike
 
Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
Ee mushaija, unakuza jambo tu. Hili jambo si mara ya kwanza kutokea duniani. Mchukulieni poa tu. Mkikaza misuli ya shingo kama vile alikuwa anataka kutorosha kontena la makinikia, mtakosea. Mpira bila midadi si mpira tena!
 
dfcad79d5bc6de149dd5a2325fbd84da.jpg
0e71521602fcbf48857b479089981f0e.jpg

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Triple A

Kuishi Dar kunatakiwa moyo....maana kama ukumbani wa vitoto vya bongo fleva (mabwabwa) basi utakuja kukumbana na mademu dizaini ya Wolper (majike dume) wakikuomba wakugegede wakifikiri kila mwanamme hapa mjini ni mtu wa Dar. Unukaji mwakwapa na mdomo ndiyo usiseme,,,,yaani balaaaa.
 
Aiseeeeee!!! Hyo ndo
Dar mji wa bashite
Skuhiz mabwabwa ndo
Yamejaza huo mji

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Tulishakataza kumtaja hyo mtu!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Wamesarenda wenyewe naona jana katajwa leo katajwa naona wanamrudisha kimyakimya

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Mvamiaji nmempenda maana katimiza lengo!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Siku ikitokea star kachomwa kisu umpende mvamizi hivyohivyo.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom