Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kosa lake nnSasa hivi jamaa yupo lupango
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
jamaa kajiamini kabisa yaan
We kilema acha upumbavu!kwahiyo tokea anazaliwa alikua anaenda shule ili aje kumkumbatia Rooney?? Huyu atakua Ukawa tu, tena Chadema.
Teh teh heheHuyu nimeambiwa kaja Jana kutoka huko mkoani kwenu [emoji12]
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Dah, wanaume wa Dar jamani....sasa Rooney sijuwi alijisikiaje na ile harufu ya. kwapa. Basi hapo kijana wa Dar kaenda kuwasimulia wenziwe wanaomshikisha ukuta kuwa yeye ni jasiri ili wamgombanie huko selo.
Ee mushaija, unakuza jambo tu. Hili jambo si mara ya kwanza kutokea duniani. Mchukulieni poa tu. Mkikaza misuli ya shingo kama vile alikuwa anataka kutorosha kontena la makinikia, mtakosea. Mpira bila midadi si mpira tena!Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]![]()
![]()
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Triple A
Aiseeeeee!!! Hyo ndoKuishi Dar kunatakiwa moyo....maana kama ukumbani wa vitoto vya bongo fleva (mabwabwa) basi utakuja kukumbana na mademu dizaini ya Wolper (majike dume) wakikuomba wakugegede wakifikiri kila mwanamme hapa mjini ni mtu wa Dar. Unukaji mwakwapa na mdomo ndiyo usiseme,,,,yaani balaaaa.
Hahahaha dah! Apigwe picha pamoja na MITAMA YA ASKARI hahahaha nimecheka sana hiyo post![]()
![]()
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Wamesarenda wenyewe naona jana katajwa leo katajwa naona wanamrudisha kimyakimyaTulishakataza kumtaja hyo mtu!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Siku ikitokea star kachomwa kisu umpende mvamizi hivyohivyo.Mvamiaji nmempenda maana katimiza lengo!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app