Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Sasa hivi jamaa yupo lupango

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Hakuna sabab ya muhim et, au hicho kifungu kipo kwenye katiba yetu kuwa mtu atakaemkumbatia rooney ataenda lupango, wamuache tu

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
We nawe una mahaba unaonekana. Ungekuwa uwanjani karibu ungeweza kuunga tela 🙂 .

Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana wachezaji? Wanakuwa wanaona wanaweza show sana au vipi?
 
Sina lugha ya kueleza kwa nini wanapenda wachezaji but ni ile mtu anafanya kitu admirable tena anakuwa maarufu na guts za kutosha kila mtu anaongea kuhusu yeye

Lazima uote kuwa karibu na such a person
 
Right.

Evolutionary psychology.
 
Haya mambo katika soka huwa yanatokea haswa kwa wachezaji maarafu!!

Hii pia iliwahi kutokea kwa CR7 Real madrid vs Basel mechi ya uefa 2014.

Mambo ya soka tuwaachie wanasoka!!

Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.

Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
 
Mkuu uko sahihi ....Rooney hajafurahishwa na hicho kitendo cha huyo teja kumrukia...

He was very much disgusted!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Tusilalamike sana jamani ishatokea nobody read minds so wasingeweza kuzuia kwa kitu cha ghafla kama kile

Rooney na wenzake wali be caught offguard ndo maana hawakucheka, huenda walicheka baadae
 
Mkuu uko sahihi ....Rooney hajafurahishwa na hicho kitendo cha huyo teja kumrukia...

He was very much disgusted!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Well said, mwisho wa siku ujinga huu utakuja kutu-cost dearly - hilo Waswahili wengi hawalioni!! Team gani za huko Ulaya zitakubali kuleta wachezaji wao wanao lipwa/gharimiwa mabillion wa-risk maisha yao kutokana na ulinzi wetu kuwa so sloppy - badala ya Polisi na Walizi kufanya ulinzi wanajisahau kwa kuangalia mpira hapo ndipo watu wenye agenda zao wana exploit weakness hiyo na kufanikiwa kuruka uzio na kuwavamia wachezaji ghafla - Serikali/Wizara ya michezo inapaswa kuwachukulia hatua kali wale wote ambao walikuwa wamepewa dhamana ya kuwalinda wachezaji mpira wanapokuwa uwanjani.
 
Naye amwandika historia kama yule wa kipindi kile aliyemkumbatia kaka

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Tabia za kinyani kabisa hizi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Sometimea waAfrica tunajiaibisha tu.huyu mtu unaweza kuta toka utotoni mwake mpaka leo hajawahi kumkumbatia mama yake wala baba yake.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Mkuu mbona kwenye soka hii ni kawaida duniani kote. Haswa kwa shabiki anayempenda kisoka mchezaji fulani. Mastaa wengi washafanyiwa hivyo viwanjani na kwa wenzetu hupigwi hata kidogo. Utatunzwa mechi ikiisha unaachiwa na ikiwezekana mchezaji mwenyewe anaweza omba akuone. So take it easy
 
Siasa imetafuna ubongo vilivyo!!

Wewe Mpira huwa unaangalia...?

Hapa hakuna jipya hata viwanja vya Uropa yanatokea haya.
Kweli kabisa mkuu, alafu unaweza kuta wengi si mashabiki wa mpira wanaingiza na mambo ya ushoga. Ni tukio la kawaida sana na akina Rooney hawawezi kushangaa. Tatizo kuna watu wana taka kucomment kila kitu na wakati mwingine kwa busara ndogo sana
 
Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.

Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Mkuu mbona unawasemea wewe, kwenye soka hapo hakuna jipya. Ukisema wazungu hawapendi waafrika kwa kiasi hicho unakosea sana, ubaguzi upo kwa kiasi chake but sivyo unavyodhani. Kwa waliotembea nchi za wenzetu wanalijua hilo, kizazi cha sasa cha wenzetu mnajimix ile mbaya mkuu na mimi hilo nimeshuhudia sana, mkiwa huko watoto unawapiga mashine tu wala huo ubaguzi si kihivyo. So wala usihofu kwa ulimwengu wa soka hilo kawaida sana sana.
 
Back
Top Bottom