Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Ndiyo kichaa chenyewe hicho.Usicheze ma mapenzi wewe, hata mi namuunga mkono
Hata ukimuunga mguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kichaa chenyewe hicho.Usicheze ma mapenzi wewe, hata mi namuunga mkono
Hakuna sabab ya muhim et, au hicho kifungu kipo kwenye katiba yetu kuwa mtu atakaemkumbatia rooney ataenda lupango, wamuache tuSasa hivi jamaa yupo lupango
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
'Mguu' [emoji3] . People are emotional jamaniNdiyo kichaa chenyewe hicho.
Hata ukimuunga mguu.
There is emotional, and then there is stir crazy.'Mguu' [emoji3] . People are emotional jamani
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]There is emotional, and then there is stir crazy.
We nawe una mahaba unaonekana. Ungekuwa uwanjani karibu ungeweza kuunga tela 🙂 .[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sina lugha ya kueleza kwa nini wanapenda wachezaji but ni ile mtu anafanya kitu admirable tena anakuwa maarufu na guts za kutosha kila mtu anaongea kuhusu yeyeWe nawe una mahaba unaonekana. Ungekuwa uwanjani karibu ungeweza kuunga tela 🙂 .
Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana wachezaji? Wanakuwa wanaona wanaweza show sana au vipi?
Sina lugha ya kueleza kwa nini wanapenda wachezaji but ni ile mtu anafanya kitu admirable tena anakuwa maarufu na guts za kutosha kila mtu anaongea kuhusu yeye
Lazima uote kuwa karibu na such a person
Haya mambo katika soka huwa yanatokea haswa kwa wachezaji maarafu!!
Hii pia iliwahi kutokea kwa CR7 Real madrid vs Basel mechi ya uefa 2014.
Mambo ya soka tuwaachie wanasoka!!
Mkuu uko sahihi ....Rooney hajafurahishwa na hicho kitendo cha huyo teja kumrukia...Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.
Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Tusilalamike sana jamani ishatokea nobody read minds so wasingeweza kuzuia kwa kitu cha ghafla kama kileWewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.
Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Mkuu uko sahihi ....Rooney hajafurahishwa na hicho kitendo cha huyo teja kumrukia...
He was very much disgusted!
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona kwenye soka hii ni kawaida duniani kote. Haswa kwa shabiki anayempenda kisoka mchezaji fulani. Mastaa wengi washafanyiwa hivyo viwanjani na kwa wenzetu hupigwi hata kidogo. Utatunzwa mechi ikiisha unaachiwa na ikiwezekana mchezaji mwenyewe anaweza omba akuone. So take it easySometimea waAfrica tunajiaibisha tu.huyu mtu unaweza kuta toka utotoni mwake mpaka leo hajawahi kumkumbatia mama yake wala baba yake.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Umenena mkuu, kwa mfatiliaji mzuri wa mpira hii ni kawaida sana sana.Usiwe na hisia sana za kila kitu ushoga bro maisha mbona rahisi sana hii inatokea mara nyingi mwisho wa siku maisha yanaendelea
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu, alafu unaweza kuta wengi si mashabiki wa mpira wanaingiza na mambo ya ushoga. Ni tukio la kawaida sana na akina Rooney hawawezi kushangaa. Tatizo kuna watu wana taka kucomment kila kitu na wakati mwingine kwa busara ndogo sanaSiasa imetafuna ubongo vilivyo!!
Wewe Mpira huwa unaangalia...?
Hapa hakuna jipya hata viwanja vya Uropa yanatokea haya.
Mkuu mbona unawasemea wewe, kwenye soka hapo hakuna jipya. Ukisema wazungu hawapendi waafrika kwa kiasi hicho unakosea sana, ubaguzi upo kwa kiasi chake but sivyo unavyodhani. Kwa waliotembea nchi za wenzetu wanalijua hilo, kizazi cha sasa cha wenzetu mnajimix ile mbaya mkuu na mimi hilo nimeshuhudia sana, mkiwa huko watoto unawapiga mashine tu wala huo ubaguzi si kihivyo. So wala usihofu kwa ulimwengu wa soka hilo kawaida sana sana.Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita