Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

Mimi hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam duniani. Yeye kaandika free palestina. Hakuandika free Hamas. Inaama kwao kila Palestina ni adui . Mwanzo humu jf tuliambiwa hamas kumbe sasa Palestina wote.
Hivi vita ni vya kidini
Dini gani dhidi ya dini gani?
 
Si tulikubaliana hii ni vita ya HAMAS na ISRAEL


Hiyo Palestine inaingiaje Tena?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
SEHEMU C: TAREKH

5. "Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120)

Bainisha chokochoko za Mayahudi na Wakristo dhidi ya Dola ya Kiislamu wakati wa Mtume (saw) na chokochoko zao dhidi ya Uislamu hivi leo.
 
Ila free Ukraine, slava ukraini ilikuwa ni sawa tu.

Ndio ajue dunia inakwenda vile mabwana wakubwa wanataka , utasikia, utakaiona kile ambacho wao wanataka na si vinginevyo.
wapalestina walianzisha hii vita ila Ukraine walijitahidi kuepuka vita tangu mwaka 2014 licha ya kuporwa eneo la crimea ila walikaa kimya a Urusi hakuridhika na kuamua kuvamia kbs 2022 ili kuingiza Ukraine kwenye vita
 
Back
Top Bottom