much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Dini gani dhidi ya dini gani?Mimi hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam duniani. Yeye kaandika free palestina. Hakuandika free Hamas. Inaama kwao kila Palestina ni adui . Mwanzo humu jf tuliambiwa hamas kumbe sasa Palestina wote.
Hivi vita ni vya kidini