GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Screenshot_20251027_182344_Instagram.jpg

Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025.

Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na askari, mpaka mechi inaisha ndugu zake hawajui binti huyo yuko wapi!

Kwahiyo sasa mtu hata akivaa nguo ina picha ya Lissu au rangi za CHADEMA anakuwa mhalifu? Tunaelekea wapi?
 
Wakuu,

Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LoVE YOU TUNDU LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025.

Huu ni uonevu mkubwa
 
Wanaovyaa Mashati na T-shirt zenye nembo sasa nao ni zamu yao wafikiwe. Kama kuvaa T-shirt yenye picha ya lissu ni kosa , waseme tu ni sheria gani imetumika. Wanaovaa za samia nao wakamatwe ili kusawazisha mambo .
 
Hawa jamaa ni hatari sana.
 
Wanaovyaa Mashati na T-shirt zenye nembo sasa nao ni zamu yao wafikiwe. Kama kuvaa T-shirt yenye picha ya lissu ni kosa , waseme tu ni sheria gani imetumika. Wanaovaa za samia nao wakamatwe ili kusawazisha mambo .
Hii sasa ni hatari .......nchi imekuwa na balaa hii
 
Back
Top Bottom