GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa alikuwa anaingia uwanjani kuangalia mpira au kupiga siasa, acha yamkute ya kumkutašŸ˜‚

Cc: Mimi Wewe Yule
Wewe ni mzee ila busara 0.
Kwa hiyo wale waliokuwa uwanjani wamevaa fulana zenye picha ya Hangaya na maneno lukuki ya kuhimiza apewe kura...hizo sio siasa!?
Au walikuwa wanahimza kilimo cha mboga mbogašŸ¤”
 
Wakuu,

Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LoVE YOU TUNDU LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025.

Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na askari, mpaka mechi inaisha ndugu zake hawajui binti huyo yuko wapi!

Kwahiyo sasa mtu hata akivaa nguo ina picha ya Lissu au rangi za CHADEMA anakuwa mhalifu? Tunaelekea wapi?
Polisi hawajui wanapika vita dhidi ya raia
 
Utasikia taarifa kutoka kwa Muliro kuwa dada amejiteka baada ya kufurahi timu yake kuvuka hatua inayofuata.
 
Hatuelekei kokote tena, tuliishafika tayari ni kuwa tayari tu kwa lolite muda wote.

Usikubali kukamatwa na polusu hata kama unaamini huna kosa, kwasababu wite waliotii sheria bira shuruti kwa kudhani wanapelekwa polisi WAMEPOTEZWA.

Polisi wakija uelekeo wako jiandae kupambana, na hata akikugusa pambana, kwasababu utapotezwa hata usipo pambana, ni bora upambane hadharani ili ukifa ufe hadharani kuliko mateso ya sirini.

Na ukipambana hadharani unaweza kupona kwa msaada wa wasaidizi wachache wenye ujasiri.
Kataa kukamatwa na polisi popote ulipo.
 
siasa na mpira sio vitu vya kuvichanganya ndugu zangu wa chadema mbona mnakua wagumu kuelewa

tatizo ni lishe au kitu gani!
 
Back
Top Bottom