Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Watu wa Yanga huwa hawana akili isipokuwa wawili tu.Tunaishi nao kiugumuugumu sana.Mola azilaze roho zao kuzimu.Aiiimeeen!🙏🤣Wakuu
Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!
==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baad kuona anapoisi mechi za Yanga kioneshwa kwa bei rahisi.
Anunue king'amuzi awe ana angalia nyumbani, biashara huriaWakuu
Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!
==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
Kaka una akili zingine au unategemea hizo tuWatu wa Yanga huwa hawana akili isipokuwa wawili tu.Tunaishi nao kiugumuugumu sana.Mola azilaze roho zao kuzimu.Aiiimeeen!🙏🤣
Hapo ndio aliposhia. Hivyo ndio zimeishia hapo. Halafu huyu ndio aje kuwa na familia kabisa huyu.Kaka una akili zingine au unategemea hizo tu
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Watu wa Yanga huwa hawana akili isipokuwa wawili tu.Tunaishi nao kiugumuugumu sana.Mola azilaze roho zao kuzimu.Aiiimeeen!🙏🤣
Je, wewe uliwahi kufika mwaka gani huku Tanzania? Ninaamini ata huko nchini kwenu wajinga wajinga pia wamejaa, na ata Ulaya nako pia wajinga wajinga wapoTanzania watu wajinga wajinga ni wengi sana
Sana nakazia ...Tanzania watu wajinga wajinga ni wengi sana
yanga hana mashabiki vipi ikiwa kitakwimu toka T.F.F ndo anaongoza kwa washabiki kuingia uwanjaniYanga haina mashabiki wazeee nilikuwa na banda la mpira siku za mpira wa yanga banda hakuna mtu na siku ya simba watu wanafika wakutosha
Babu wenye vibanda umiza ndio tunaona siku za mechi ya yanga mashabiki sio wengi mzee ukilinganisha na siku anayocheza simbayanga hana mashabiki vipi ikiwa kitakwimu toka T.F.F ndo anaongoza kwa washabiki kuingia uwanjani
...halafu za Simba buku mbiliHuku kimara mechi za Yanga ndo hua buku