Shabiki wa Yanga alalamika mechi zao kuoneshwa 500 za Simba kuwa 1000 Kibanda Umiza

Shabiki wa Yanga alalamika mechi zao kuoneshwa 500 za Simba kuwa 1000 Kibanda Umiza

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!

==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
 
Wakuu

Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!

==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baad kuona anapoisi mechi za Yanga kioneshwa kwa bei rahisi.
Watu wa Yanga huwa hawana akili isipokuwa wawili tu.Tunaishi nao kiugumuugumu sana.Mola azilaze roho zao kuzimu.Aiiimeeen!🙏🤣
 
Watu wa Yanga huwa hawana akili isipokuwa wawili tu.Tunaishi nao kiugumuugumu sana.Mola azilaze roho zao kuzimu.Aiiimeeen!🙏🤣
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Yanga haina mashabiki wazeee nilikuwa na banda la mpira siku za mpira wa yanga banda hakuna mtu na siku ya simba watu wanafika wakutosha
 
Yanga haina mashabiki wazeee nilikuwa na banda la mpira siku za mpira wa yanga banda hakuna mtu na siku ya simba watu wanafika wakutosha
yanga hana mashabiki vipi ikiwa kitakwimu toka T.F.F ndo anaongoza kwa washabiki kuingia uwanjani
 
yanga hana mashabiki vipi ikiwa kitakwimu toka T.F.F ndo anaongoza kwa washabiki kuingia uwanjani
Babu wenye vibanda umiza ndio tunaona siku za mechi ya yanga mashabiki sio wengi mzee ukilinganisha na siku anayocheza simba
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Bakhresa alitoa data za uongo kwasababu ya mgogoro wake dhidi ya Mo kwamba yanga ndio inaangaliwa sana kuliko simba na wao wakajaa kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom