Nishamjibu, anachoongea ndicho kinafanyika, hospitalini wanasaidiwa na Yatima piaGhazwat: Soma post za watu wanaotumia akili zao za kumkichwa jinsi wanavyo dadavua masuala kwa mifano iliyo enda shule. πππ
Kwahivyo kama Mwanachama anachangia kwa kulipia Kadi yake, basi hata shabiki naye kule kuingia uwanjani ni mchango kwa Klabu
Ndo maana Vilabu vyote duniani hulilia kupata viwanja vikubwa kwa ajili ya wanachama na mashabiki.
Naona umeijibu paragraph ya pili tu. Na ile ya kwanza umeikimbia kama ukoma.Nishamjibu, anachoongea ndicho kinafanyika, hospitalini wanasaidiwa na Yatima pia
Picha ya ushahidi nimemuwekea katika kumquote. Hakuna jipya labda lingine
Wewe ndo usome tena, kaandika kuhusu Yatima, Jezi jamaa kupewa Sh 10,000 na kuhusu hospitali baada ya kusema kuhama mshabiki haiwezekani, huo ni mtazamo wake.!Hujaelewa hebu soma tena alichoa andika. π
Mbona unakwepamaswali...?Wewe ndo usome tena, kaandika kuhusu Yatima, Jezi jamaa kupewa Sh 10,000 na kuhusu hospitali baada ya kusema kuhama mshabiki haiwezekani, huo ni mtazamo wake.!
Lakini shabiki tunae pale Msimbazi
Tunazungumzia Soka. Hilo la Kabila peleka Kenya
Safi mkuu.. Yaani timu imekufanyia hisani kwa mtoto wako, kuna cha kusubiri tena
This is Simba bhana..!
Hebu tuletee video inayoonyesha baba yake Luka Shaw akikiri bila hiyana na akisema anahama timu "X" na kuhamia timu "Y"...?
Chura tu huyu ataongea nini.Mkuu huyu lazima asiwe na hoja kwa ushahidi huu..!
Akikujibu niambie...!
Chura tu huyu ataongea nini.
Damu nzito kuliko maji.
Acha kuchachawa. Unataka Ushahidi unavyotaka wewe Kinyume uhalisia ulivyoMbona amemsemea baba yake? πππππ
Tunataka baba mwenyewe aonekane akinena kama daktari wa muhimbili alivyotangawa wazi kuwa "Yeye na familia yake wamehama"
Acha kuchachawa. Unataka Ushahidi unavyotaka wewe Kinyume uhalisia ulivyo