kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hamkubali sababu kuna messiah of football..!Nimeona Insta akimlinganisha na Rooney kwa goli alilolifunga jana!Kwa nini huwa humkubali huyu jamaa wakati mi naona ana takwimu za kutisha?
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana kwenye kumponda huyu jamaa ukimlinganisha na wachezaji wengine.
Mia mia mkuuHamkubali sababu kuna messiah of football..!
Siyo yeye tu, ata mimi ningemkubali Ronaldo in absence of Lionel Messi.
Kusema kweli kuzaliwa kwa messi kunamnyima CR kukubarika na wengi..! Sasa huwa watu wapuuzi huwa wanathubutu kumlinganisha messi na huyu chalii..Mia mia mkuu
Your comment is extreme....Huwezi kumfananisha Messi na uchafu unaoitwa Ronaldo
Ni hisia zako tuu mkuu,Huwezi kumfananisha Messi na uchafu unaoitwa Ronaldo
Kwa goli la Jana dunia ili overreact tu...
Lile ni goli la kawaida kila siku watu wanafunga tena katika mazingira magumu.
Lakini kisa Jana aliefunga ni Ronaldo basi people were all over licking his arsehole...
Afanye kama Pep wa Man cityMimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone
Goli la tikitaka hata mechi za mchangani watu wanafungahuwa nawaza sana hivi unaanzaje kumchukia tu mtu ambaye hakujui, Humpunguzii mshahara wake,huongezi wala kupunguza furaha yake!!
Amekuzidi kila kitu yaani wewe ni Shithole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Messi na Cr7 kila mmoja ana ubora wake na kila mmoja anastahili sifa zake.