kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nimeona Insta akimlinganisha na Rooney kwa goli alilolifunga jana!Kwa nini huwa humkubali huyu jamaa wakati mi naona ana takwimu za kutisha?
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana kwenye kumponda huyu jamaa ukimlinganisha na wachezaji wengine.
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana kwenye kumponda huyu jamaa ukimlinganisha na wachezaji wengine.