Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?


Hii point ya kuhama timu waga ni ya wapuuzi, mtu kama anajua, ni anajua tu.
Ila sio uwapeleke Cr7 au Messi huko Bolton wanderers!! Hawawezi kupafom vizuri maana hata wao wamefika hapo kutokana na kuzungukwa na watu wanaojua mpira, tena world class players
 
Alitabiri PSG wangeshinda Santiago Bernabeu
Juzi akasema Juventus watakalisha Real madrid
Jana akasema Man city atamkalisha Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndio uchambuzi wake
Angekuwa anaBeti angefilisika tu
Niliwahi kusema huyu siyo mchambuzi kabisa [emoji23]
 
Messi amezoea kufunga Group Stages tu
Knock out Stage sio kiviile.... mara moja moja tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanazi wa Messi mmesubiri leo atupie lakini katoka kapa!!
Hakuna goli wala assist!
Na bado Cr7 atamnyoosha mpaka anyoe sharubu!
 
Wewe hujui mpira
 
Ni hisia zako tuu mkuu,
Ukweli messi ni mzuri tena sanaa,
Lkn Ronaldo ni zaidi yake kwa mafanikio yake, balon d'or wako sawa, na wakibeba tena msimu huu ni yake pia, yaani mesi hawezi mzidi cr7 labda wawe sawa.
Basi hata Ronaldo hawezi mzidi messi labda wawe sawa na tena huyo Mzee aliyetangulia miaka miwili mbele nina mashaka naye
 
Tunatafuta nani mkali kati yao shithole wewe
 
Kabla ya Mechi ya jana nilikua naamini Messi ni zaidi ya Ronaldo!
Overhead kick bicycle goals ni nyingi sana zimeshafungwa,zingine Kali sana kuzidi hyo ya cr7. Messi ni Wa ajabu wewe kijana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanazi wa Messi mmesubiri leo atupie lakini katoka kapa!!
Hakuna goli wala assist!
Na bado Cr7 atamnyoosha mpaka anyoe sharubu!
Ila ndo amekuwa man of the match umejiuliza ni kwa nini au hadi sahizi hujajua hilo?
 
Mshahara wa wiki tuu sisi wengine hata tufanye saving mpaka kufa bila kutunia hata cent hatufikishi
 
Ila ndo amekuwa man of the match umejiuliza ni kwa nini au hadi sahizi hujajua hilo?
Cr7 anachukua kiatu cha dhahabu yeye Man of the Matches!! [emoji23]
Sawa tu akomae..
 
Shafih a.k.a giggs huyu MTU uzuri Mpira wa ushindani kacheza na ana upenda ,naye ni left foot km mess ( muumini wa Orthodox style ) so kumponda ronaldo itakua kawaida
 
Cr7 anachukua kiatu cha dhahabu yeye Man of the Matches!! [emoji23]
Sawa tu akomae..
Mbona hata kichuya anaweza kuwa mchezaji bora Wa Africa Japo kuna kina sallah,mane,mahrez na wengineo? Japo hyo haitafanya yeye awe mchezaji mahiri kuliko hao nlowataja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…