Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

Maajabu ya mess kwenye soka ni UPI ? Kwenye kufunga , ball control au ni kipi labda kinachomfanya awe wa ajabu kwenye soka
 
Naamini kuwa Messi ni mchezaji bora zaidi kuliko Ronaldo...ingawa Ronaldo pia ni mpambanaji.

Goli zuri la tiktak ni lile la Benteke, sio hata la Rooney dhidi ya Man city.
 
Mimi nilichoona lile goli la ronaldo Halina tofauti na lile goli la Rooney. Japo naona hata kocha wake amesema halijafikia goli lake la mwaka 2002.
 
Mchambuzi maandazi uyo....anaye shindwa kulinda hisia zake.
 
Mimi nilichoona lile goli la ronaldo Halina tofauti na lile goli la Rooney. Japo naona hata kocha wake amesema halijafikia goli lake la mwaka 2002.
Hebu acheni aina ya goli! Cha msingi, timu yake ilishinda goli tatu, yeye alifunga mawili! Robo fainali! Timu kubwa Juve!
 
Alitabiri PSG wangeshinda Santiago Bernabeu
Juzi akasema Juventus watakalisha Real madrid
Jana akasema Man city atamkalisha Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndio uchambuzi wake
Angekuwa anaBeti angefilisika tu
hayo ni maoni yake hakulazimishi kumuamini.
 
Sasa sikila mtu yupo huru kutoa maoni yake, msifosi watu wafanane
 
Naamini kuwa Messi ni mchezaji bora zaidi kuliko Ronaldo...ingawa Ronaldo pia ni mpambanaji.

Goli zuri la tiktak ni lile la Benteke, sio hata la Rooney dhidi ya Man city.
Benteke alifunga tiktak mechi ipi? Kama ni ile vs man u basi ile sio tiktak ni volley, tiktak ni kama aliyofunga cr7 juzi,
 
Sio lazima amkubali kila mtu ana vigezo vyake vya kumkubal mtu au kitu.so may be hana vigezo vinavyomfanya amkubali.
 
wekeni video jana boss wake nae anasema goli alilifunga kiufundi lakini halijafika lile lake alilofunga a 2002
 
Shaffie alikuwa anamponda MARCIO MAXIMO, afu hasemi njia mbadala tufanye nini! Aendelee kulazimisha NDONDO CUP iwe maarufu kushinda VPL!
 
Kusema kweli kuzaliwa kwa messi kunamnyima CR kukubarika na wengi..! Sasa huwa watu wapuuzi huwa wanathubutu kumlinganisha messi na huyu chalii..
watakuchukia watu wake ...hahaaa
 
Kwa goli la Jana dunia ili overreact tu...
Lile ni goli la kawaida kila siku watu wanafunga tena katika mazingira magumu.
Lakini kisa Jana aliefunga ni Ronaldo basi people were all over licking his arsehole...
magoli Yale benteke tu ..huwa anafunga Mara kibao...hahaha Jamaa kweli ni overrated
 
ahamie ligi nyingene ili tuone kweli yaliomo yamo?
ahamie league Ipi sasa ...wewe kiazi ..kuna league bora kama laliga"" kuna team bora zaidi ya barca na real Madrid kwahiyo wataka ahame kwenye team ambzo ndio za class Yke kisha akacheze kwenye team ambazo hata kufika robo uefa huwa haziwezi"""!!?
 
Overhead kick bicycle goals ni nyingi sana zimeshafungwa,zingine Kali sana kuzidi hyo ya cr7. Messi ni Wa ajabu wewe kijana
hahaa wamesahau lile goal la Suarez alilofnga arsenal aisee
 
Wewe kwenu kukiwa Masaki
Ukiambiwa uhame ukaishi Tandale utakubari???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…