athumanishapu
Member
- Oct 25, 2017
- 71
- 51
Maajabu ya mess kwenye soka ni UPI ? Kwenye kufunga , ball control au ni kipi labda kinachomfanya awe wa ajabu kwenye soka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasted sperm wewe!!!! kwani kutafuta mkali ni lazima umchukie mtu..!Tunatafuta nani mkali kati yao shithole wewe
Hebu acheni aina ya goli! Cha msingi, timu yake ilishinda goli tatu, yeye alifunga mawili! Robo fainali! Timu kubwa Juve!Mimi nilichoona lile goli la ronaldo Halina tofauti na lile goli la Rooney. Japo naona hata kocha wake amesema halijafikia goli lake la mwaka 2002.
hayo ni maoni yake hakulazimishi kumuamini.Alitabiri PSG wangeshinda Santiago Bernabeu
Juzi akasema Juventus watakalisha Real madrid
Jana akasema Man city atamkalisha Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndio uchambuzi wake
Angekuwa anaBeti angefilisika tu
Sasa sikila mtu yupo huru kutoa maoni yake, msifosi watu wafananeNimeona Insta akimlinganisha na Rooney kwa goli alilolifunga jana!Kwa nini huwa humkubali huyu jamaa wakati mi naona ana takwimu za kutisha?
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana kwenye kumponda huyu jamaa ukimlinganisha na wachezaji wengine.
Benteke alifunga tiktak mechi ipi? Kama ni ile vs man u basi ile sio tiktak ni volley, tiktak ni kama aliyofunga cr7 juzi,Naamini kuwa Messi ni mchezaji bora zaidi kuliko Ronaldo...ingawa Ronaldo pia ni mpambanaji.
Goli zuri la tiktak ni lile la Benteke, sio hata la Rooney dhidi ya Man city.
Shaffie alikuwa anamponda MARCIO MAXIMO, afu hasemi njia mbadala tufanye nini! Aendelee kulazimisha NDONDO CUP iwe maarufu kushinda VPL!Nimeona Insta akimlinganisha na Rooney kwa goli alilolifunga jana!Kwa nini huwa humkubali huyu jamaa wakati mi naona ana takwimu za kutisha?
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana kwenye kumponda huyu jamaa ukimlinganisha na wachezaji wengine.
wewe unaugua, wahi hospitali.Naamini kuwa Messi ni mchezaji bora zaidi kuliko Ronaldo...ingawa Ronaldo pia ni mpambanaji.
Goli zuri la tiktak ni lile la Benteke, sio hata la Rooney dhidi ya Man city.
wahi mirembe ukapate doziBenteke alifunga tiktak mechi ipi? Kama ni ile vs man u basi ile sio tiktak ni volley, tiktak ni kama aliyofunga cr7 juzi,
watakuchukia watu wake ...hahaaaKusema kweli kuzaliwa kwa messi kunamnyima CR kukubarika na wengi..! Sasa huwa watu wapuuzi huwa wanathubutu kumlinganisha messi na huyu chalii..
magoli Yale benteke tu ..huwa anafunga Mara kibao...hahaha Jamaa kweli ni overratedKwa goli la Jana dunia ili overreact tu...
Lile ni goli la kawaida kila siku watu wanafunga tena katika mazingira magumu.
Lakini kisa Jana aliefunga ni Ronaldo basi people were all over licking his arsehole...
ahamie league Ipi sasa ...wewe kiazi ..kuna league bora kama laliga"" kuna team bora zaidi ya barca na real Madrid kwahiyo wataka ahame kwenye team ambzo ndio za class Yke kisha akacheze kwenye team ambazo hata kufika robo uefa huwa haziwezi"""!!?ahamie ligi nyingene ili tuone kweli yaliomo yamo?
hahaa wamesahau lile goal la Suarez alilofnga arsenal aiseeOverhead kick bicycle goals ni nyingi sana zimeshafungwa,zingine Kali sana kuzidi hyo ya cr7. Messi ni Wa ajabu wewe kijana
Wewe kwenu kukiwa MasakiMimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone