Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Talent ni boraNi hisia zako tuu mkuu,
Ukweli messi ni mzuri tena sanaa,
Lkn Ronaldo ni zaidi yake kwa mafanikio yake, balon d'or wako sawa, na wakibeba tena msimu huu ni yake pia, yaani mesi hawezi mzidi cr7 labda wawe sawa.
maradona ..zidane ..yohan cryf ..figo ..wamewahi kuwa wachezaji bora wa duniaCr7 anachukua kiatu cha dhahabu yeye Man of the Matches!! [emoji23]
Sawa tu akomae..
hahaaa yule ni overrated player...sio Ibrah tu ..benteke amefnga mnooo magoli kama Yale...emre can .Pedro.Suarez .na wengine wengi tu"" nashangaa imekuwa kama kitu kigeni ..hahaaNimeshangaa sana goli la tiki taka la mnyama cr7 kupata hype kubwa vile wakat muhuni IBRA CADABRA MOVIC ashafany san izo ila ikawa kawaida 2
hahaa kweliwewe unaugua, wahi hospitali.
Wakati mwingine kabla ya kukomenti uwe unasoma na kuelewa kwanza, jamaa uliyemkuit kasema kingine wee unamjibu vingine,maradona ..zidane ..yohan cryf ..figo ..wamewahi kuwa wachezaji bora wa dunia
.lakini kiatu cha dhahabu hawakijui...hahahaa tatizo MNA m define mchezaji bora kwa magoli na sio kwa mchango wake mzima katika team ...kama magoli ndio kingekuwa kigezo pekee cha kumfnya mchezaji awe bora ..basiii maradona asingekuwa bora kuliko Ronaldo delima...yohan cryf asingekuwa bora kuliko van nesterloy"" zidane asinge kuwa bora kuliko Raul Gonzalez....halafu hvyo viatu mbona messi anavyo mpaka basii"" hivi huwa mnawaza kwakutumia makalio au...??
Fafanua nani ni nani?Talent ni bora
Kuliko minguvu na hard work
Messi ni anakipaji cha kuzaliwa nachoFafanua nani ni nani?
Nafikir mtoa mada hamjui shafii, jamaa n man united ktambo tu ni big fan wa ronaldo...Sumtym anazuga wa2 wac'jue ushabik wke ulipoShaffih hamkubali ronaldo, jamaa hujamjua vizur shaffih, jamaa ni mnazi wa ronaldo wa kutupwa,chunguza upya.
Nisahihi na ndio maana jana kati ya goli nne Messi kafunga moja.Overhead kick bicycle goals ni nyingi sana zimeshafungwa,zingine Kali sana kuzidi hyo ya cr7. Messi ni Wa ajabu wewe kijana
Ingekua mesi anatokea nyumbani na kupangwa bila kukaa kambi ya barca ningekuelewa ila anafanya mazoezi km wengine, pia mafanikio hawajapishana sana na cr7,Messi ni anakipaji cha kuzaliwa nacho
Ronaldo anafanya Kazi sana kwa bidii
Kama kusoma kwa kukariri na kukesha na kusoma kwa kuelewa
Shafii kimeo kile huwa siwezi msikilizaAlitabiri PSG wangeshinda Santiago Bernabeu
Juzi akasema Juventus watakalisha Real madrid
Jana akasema Man city atamkalisha Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndio uchambuzi wake
Angekuwa anaBeti angefilisika tu
Wanamlipa vizuri Sasa aende wapiMimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone
Bila messi barcelona haichezi nadhani unakumbuka game ya sevilla ila bila ronaldo madrid inacheza tena fresh 2 means messi ndo anaibeba timu sio timu inambebaMimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone
Je messi akikutana na timu za epl huwa anazifanya nn? Waulize ujerumani messi hata akija timu yoyote anafumua 2 maana messi ni complete palyer means anaassist. Anafunga. Anacreate chance anaweza kucheza kama winger. Midfilder na anaweza kucheza kama fowardahamie ligi nyingene ili tuone kweli yaliomo yamo?