Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

Ni hisia zako tuu mkuu,
Ukweli messi ni mzuri tena sanaa,
Lkn Ronaldo ni zaidi yake kwa mafanikio yake, balon d'or wako sawa, na wakibeba tena msimu huu ni yake pia, yaani mesi hawezi mzidi cr7 labda wawe sawa.
Talent ni bora
Kuliko minguvu na hard work
 
Cr7 anachukua kiatu cha dhahabu yeye Man of the Matches!! [emoji23]
Sawa tu akomae..
maradona ..zidane ..yohan cryf ..figo ..wamewahi kuwa wachezaji bora wa dunia
.lakini kiatu cha dhahabu hawakijui...hahahaa tatizo MNA m define mchezaji bora kwa magoli na sio kwa mchango wake mzima katika team ...kama magoli ndio kingekuwa kigezo pekee cha kumfnya mchezaji awe bora ..basiii maradona asingekuwa bora kuliko Ronaldo delima...yohan cryf asingekuwa bora kuliko van nesterloy"" zidane asinge kuwa bora kuliko Raul Gonzalez....halafu hvyo viatu mbona messi anavyo mpaka basii"" lijitu team yake inashika nafasi ya 3 katika league huko then mkamfananishe na messi kweli huwa hamuoni aibu au """? yaani aonekane bora mbele ya messi kwaajili ya haya mashindano ya uefa tu pekee mmerogwa sio bure
hivi huwa mnawaza kwakutumia makalio au...??
 
Nimeshangaa sana goli la tiki taka la mnyama cr7 kupata hype kubwa vile wakat muhuni IBRA CADABRA MOVIC ashafany san izo ila ikawa kawaida 2
hahaaa yule ni overrated player...sio Ibrah tu ..benteke amefnga mnooo magoli kama Yale...emre can .Pedro.Suarez .na wengine wengi tu"" nashangaa imekuwa kama kitu kigeni ..hahaa
 
[emoji32] [emoji41] [emoji15] [emoji725] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
maradona ..zidane ..yohan cryf ..figo ..wamewahi kuwa wachezaji bora wa dunia
.lakini kiatu cha dhahabu hawakijui...hahahaa tatizo MNA m define mchezaji bora kwa magoli na sio kwa mchango wake mzima katika team ...kama magoli ndio kingekuwa kigezo pekee cha kumfnya mchezaji awe bora ..basiii maradona asingekuwa bora kuliko Ronaldo delima...yohan cryf asingekuwa bora kuliko van nesterloy"" zidane asinge kuwa bora kuliko Raul Gonzalez....halafu hvyo viatu mbona messi anavyo mpaka basii"" hivi huwa mnawaza kwakutumia makalio au...??
Wakati mwingine kabla ya kukomenti uwe unasoma na kuelewa kwanza, jamaa uliyemkuit kasema kingine wee unamjibu vingine,
Pia hao unaowasemea ujue tuu Cr7 kafanya yote kwa pamoja, anacheza vizuri na kufunga pia anatoa msaada kwa timu, mesi pia vivyohivyo ila mafanikio ya timu kwa ujumla zaidi ndio yanam'beba zaidi cr7
 
Shaffih hamkubali ronaldo, jamaa hujamjua vizur shaffih, jamaa ni mnazi wa ronaldo wa kutupwa,chunguza upya.
Nafikir mtoa mada hamjui shafii, jamaa n man united ktambo tu ni big fan wa ronaldo...Sumtym anazuga wa2 wac'jue ushabik wke ulipo
 
Overhead kick bicycle goals ni nyingi sana zimeshafungwa,zingine Kali sana kuzidi hyo ya cr7. Messi ni Wa ajabu wewe kijana
Nisahihi na ndio maana jana kati ya goli nne Messi kafunga moja.
 
Messi ni anakipaji cha kuzaliwa nacho
Ronaldo anafanya Kazi sana kwa bidii
Kama kusoma kwa kukariri na kukesha na kusoma kwa kuelewa
Ingekua mesi anatokea nyumbani na kupangwa bila kukaa kambi ya barca ningekuelewa ila anafanya mazoezi km wengine, pia mafanikio hawajapishana sana na cr7,
 
Alitabiri PSG wangeshinda Santiago Bernabeu
Juzi akasema Juventus watakalisha Real madrid
Jana akasema Man city atamkalisha Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndio uchambuzi wake
Angekuwa anaBeti angefilisika tu
Shafii kimeo kile huwa siwezi msikiliza
 
Mimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone
Wanamlipa vizuri Sasa aende wapi
 
Tofauti ni kuwa mmoja mfungaji bora Na mmoja mchezaji bora
 
hahahaha wewe humjui shafii vizuri kabisa nime amini ume mjudge kwa siku moja tuu..

Shafii na Oscr oscar wanampenda sana Ronaldo....
 
Mimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone
Bila messi barcelona haichezi nadhani unakumbuka game ya sevilla ila bila ronaldo madrid inacheza tena fresh 2 means messi ndo anaibeba timu sio timu inambeba
 
ahamie ligi nyingene ili tuone kweli yaliomo yamo?
Je messi akikutana na timu za epl huwa anazifanya nn? Waulize ujerumani messi hata akija timu yoyote anafumua 2 maana messi ni complete palyer means anaassist. Anafunga. Anacreate chance anaweza kucheza kama winger. Midfilder na anaweza kucheza kama foward
 
Solution ni moja 2 ukitaka kujua kati ya messi au ronaldo nani mkali wakutane kwenye El classico utamjua nani mkali
 
Back
Top Bottom