Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mdomo Mali yake.Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Zuzu mwenyeweKwenye hili la kumchukua snitch manara kweli wana yanga wote tumekuwa mazuzu..,!
Zuzu mwenyewe itakuwaga vibayaMazuzu tena!
Dawa yake ni kususia duka lakeShaffih hapatani na mashabiki wa ama Yanga au Simba...ili atrend anategemea kuzisema vibaya timu hizo kama alivyofanya wakati ule kwa kuiita Simba underdog...
Manara ni Mwajiriwa tu kama Kakolanya. Au Kakolanya anawafanya Simba wawe Mazuzu?Kwenye hili la kumchukua snitch manara kweli wana yanga wote tumekuwa mazuzu..,!
Mumeingia cha kike cha cha cha kikeee!Zuzu mwenyewe
Vipi kuhusu kale kamoko ka ngao ya hisaniMumeingia cha kike cha cha cha kikeee!
Ili wewe ufaidike kitu gani!?Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Sasa wewe huko Nandete hata ukisusa utamkomoa nani!?Dawa yake ni kususia duka lake
Choko ila wewe nichokoleeIli wewe ufaidike kitu gani!?
Unajua saa zingine mnaiga mambo ya hovyo kutoka kwa watu wa hovyo na kuja nayo huku. Yaani akili za kitoto kabisa.
Nini kimetokea mpaka Shafi akasema hilo neno!?
Alikua akiongea na nani!?
Yaani unataka wana Yanga tuwe na akili za ki choko kama zako!?
Eti susieni!!
Yaani watu kama wewe ni kushika na kupiga makofi tu.
Na ukumbuke hili,ukitaka mwanao wa kike akudharau,bisi mshike chuchu zake.
Nilijua tu hilo ndilo utakalo liona hapo.Choko ila wewe nichokolee
Kweli yanga mazuzu,Kakolanya ni mwanachama wa yanga?Manara ni Mwajiriwa tu kama Kakolanya. Au Kakolanya anawafanya Simba wawe Mazuzu?