nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Inaelekea Haji. Amemzidi sana Shaffii kwa kila kitu,ndiyo maana anamwandama sana kwa maneno ya kipumbavu.Legend kabisa anajiona
Wana yanga wapo zaidi ya milioni kumi wewe mtu mmoja tu unajifanya una akili zaidi.
Acha ujinga Fanya kazi tunza familia yako.
Haji ile ni sehemu ya maisha yake kama ulivyo wewe siku yoyte waeza kwenda TBC, radio one nk.
Je tukuite mamluki.
ACHA HIZO SHAFFIH
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app