Shaffih Dauda awaita wana Yanga Mazuzu

Ugomvi wake na Manara hakupaswa kuwahusisha Wanayanga wote. Manara kamwambia yeye kuhusu Uzuzu yeye kasema Mazuzu ni Wanayanga waliompokea. Unatukanwa na VAGvsSPEAKER halafu unamwambia mpumbavu ni mama yako aliyezaa mtu mpumbavu kama wewe?
 
Kweli yanga mazuzu,Kakolanya ni mwanachama wa yanga?
Kwani kuwa msemaji lazima uwe mwanachama? Mbona una kiwango cha chini hivyo cha uelewa ndugu yangu? Halafu aliyekwambia Mimi Yanga Nani?
 

Japo simfagilii huyo Shafiih ila naungana nae!
Yanga(utopolo) ni mazuzu na mazwazwa kweli kweli, hayana akili! Ni misukule...
 
Kwani kuwa msemaji lazima uwe mwanachama? Mbona una kiwango cha chini hivyo cha uelewa ndugu yangu? Halafu aliyekwambia Mimi Yanga Nani?
Kwa Simba na Yanga ni lazima uwe mwanachama.
 
clouds wanajifny much know sana, wao kukosoa kukejeli na kudhihaki kwao ndio uchambuzi, ndio maana kipind chao kimekosa mvuto siku hizi,pia naona ht TFF na bodi ya ligi hawapo karibu nao km wenzao wa EFM, kwanza cku United akifungwa wote wanakimbia wanamwacha yule binti tu
 
ILA MANARA MTOTO WA KARIAKOO KWELI KWELI.
KULIKO KUFA NA NJAA BORA NIHAMIE YANGA
 
Kwani uongo?
 
Wewe mpumbavu mkubwa,hatakama alikuwa anaongea na Rais akiwa ikulu hana haki ya kuwaita wana yanga mazuzu.

Kama wewe unakubaliana nae basi ni wewe na familia yako ni mazuzu.

Sawa ya moto ni moto, asusiwe tu kiburi na ujivuni umtoke shenzi zake

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Shaffih hapatani na mashabiki wa ama Yanga au Simba...ili atrend anategemea kuzisema vibaya timu hizo kama alivyofanya wakati ule kwa kuiita Simba underdog...
Kama kuna ukweli hivi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…