nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Inaelekea Haji. Amemzidi sana Shaffii kwa kila kitu,ndiyo maana anamwandama sana kwa maneno ya kipumbavu.Legend kabisa anajiona
Wewe ni utopolo nini maana umetoa povu ...Inaelekea Haji. Amemzidi sana Shaffii kwa kila kitu,ndiyo maana anamwandama sana kwa maneno ya kipumbavu.
Wana yanga wapo zaidi ya milioni kumi wewe mtu mmoja tu unajifanya una akili zaidi.
Acha ujinga Fanya kazi tunza familia yako.
Haji ile ni sehemu ya maisha yake kama ulivyo wewe siku yoyte waeza kwenda TBC, radio one nk.
Je tukuite mamluki.
ACHA HIZO SHAFFIH
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Shafii anajiona godfather sana kwenye soka la bongo..
Tena Mazuzu ni jepesi Yanga ni Machoko kumkaribisha Manara its over.Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Roho mbaya tu.Dawa yake ni kususia duka lake
Hana akili huyu shafii...anashindwa kujua mpira ni biashara.. Vipi yeye akiondoka leo clouds anataka wasafi FM au efm wasimpokee ?Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Mmenunua mara ngapi hadi msuseShaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Sasa kama sio mazuzu unachukua albino alikuwa anakutukana kila sikuWewe mpumbavu mkubwa,hatakama alikuwa anaongea na Rais akiwa ikulu hana haki ya kuwaita wana yanga mazuzu.
Kama wewe unakubaliana nae basi ni wewe na familia yako ni mazuzu.
Sawa ya moto ni moto, asusiwe tu kiburi na ujivuni umtoke shenzi zake
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sio shafiih tu hata msukule wenu aliwasema uto wote hamna akili kasoro mzee kikwete na mzee manara ๐๐๐๐คฃShaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE FUNDISHO KWAKE!
Vipi kuhusu ule mwiko aliousokomeza ndan theddeo lwanga kule kigomaVipi kuhusu kale kamoko ka ngao ya hisani
Tulia zuzu weweShafii Ni Mpumbavu Msameheni Bure
Japo mie Yanga nadhani wana Simba walishasahau jamaa aliiponda Simba ila ilifika mbali kipindi kile ,ila ndo wachambuzi wetu michongo.Shaffih hapatani na mashabiki wa ama Yanga au Simba...ili atrend anategemea kuzisema vibaya timu hizo kama alivyofanya wakati ule kwa kuiita Simba underdog...