Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Hiki ndicho alichopost katika page yake ya twitter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shaffih miaka yote ni mnafiki, mimi nilishamfuta katika watu ninaowasikiliza wakiongelea soka.Hiki ndicho alichopost katika page yake ya twitterView attachment 3114625
😄😄😄 Sister kwani si ni familiq ya GSM kweli au?Shaffih miaka yote ni mnafiki, mimi nilishamfuta katika watu ninaowasikiliza wakiongelea soka.
Picha nzuri kabisaHiki ndicho alichopost katika page yake ya twitterView attachment 3114625
Uko sahihi kabisa.Shaffih miaka yote ni mnafiki, mimi nilishamfuta katika watu ninaowasikiliza wakiongelea soka.
Kwani yule beki wa Simba aliyefanya juhudi kama hiyo kwenye box kwenye ile mechi dhidi ya Yanga na refa kupeta alikuwa anatafuta nini?Watu wanasema huyo aliepewa kadi nyekundu alifanya jitihada za makusud kupata kadi hyo
Naam, hayo ndio majukumu yake kama Mkurugenzi wa uwekezaji (Michezo) pale GSM.Kwani Rias wa Yanga ndo huwa anahusika na uratibishaji wa uwekezaji wa GSM upande wa michezo(Udhamini wa vilabu) .? Maana sote tunajua yeye ni mwajiriwa wa GSM.
sio tu mnafiki ni mfitinishaji sana mbwa huyoShaffih miaka yote ni mnafiki, mimi nilishamfuta katika watu ninaowasikiliza wakiongelea soka.
N8mesoma darasa mojana shafii IFM mwaka 2001-2004 hajui kiingereza ila akili anazo acha kumsingizia,na amecheza npira sana tushafii la 7. elimu hana kujenga hoja aujui,
kichwani empty, clouds wanaajili vibes tu. ila kichwani maji kubwaa maji kujaa.
wanaomfatilia nao kama vilaza
Unaweza kuwa na akili pamoja na unafiki. Kuwa na akili haimaanishi kukosa unafiki.N8mesoma darasa mojana shafii IFM mwaka 2001-2004 hajui kiingereza ila akili anazo acha kumsingizia,na amecheza npira sana tu
Ana uwezo mdogo sana kiuchambuzi, huyo kwa kizazi cha 2000 ndiyo anaweza kuwadanganya.N8mesoma darasa mojana shafii IFM mwaka 2001-2004 hajui kiingereza ila akili anazo acha kumsingizia,na amecheza npira sana tu
Ni mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM. Mengine endelea kutafakariKwani Rias wa Yanga ndo huwa anahusika na uratibishaji wa uwekezaji wa GSM upande wa michezo(Udhamini wa vilabu) .? Maana sote tunajua yeye ni mwajiriwa wa GSM.