Shaffih Dauda mnafki sana

Shaffih Dauda mnafki sana

Pomojq n1 sifq nzuri ktk utawala wa TFF ya KARIA, kossa kubwa la kihistoria ni kuruhusu GSM soka FAMILIA
 
Mimi ni Yanga ila Kwenye Elimu umemkosea sana. SHaffih ni mhitimu wa IFM baada ya kutoka St Anthony na kupasua. Si kilaza academically kama ulivyoandika.
Heri la Saba ayejitambua kuliko degree holder anayetumiwa na watu kusema vitu vya hovyo ilimladi mkono uende kinywani.
 
Shafii kaumia sana kuona Yanga ikishinda goli nne.
Yanga ikishinda magoli machache, wachambuzi uchwara wanasema imekwisha makali na ikishinda goli nyingi wanasema imenunua mechi. Wote wanasahau kuwa, katika mechi zote hizo Yanga wameonyesha uwezo mkubwa wa kucheza, kumiliki na kushambulia timu pinzani kupitiliza.

Shafii asisahau kuwa, wiki mbili zijazo Yanga itacheza na Simba na huenda kipigo kikarejewa upya.
Tumuulizs
20241004_091644.jpg
 
Heri la Saba ayejitambua kuliko degree holder anayetumiwa na watu kusema vitu vya hovyo ilimladi mkono uende kinywani.
Unahamisha reli mkuu. Mimi sikuendana na kauli yako ya kuwa ni form four failure
 
Back
Top Bottom