Shaffih Dauda mnafki sana

Shafii kaumia sana kuona Yanga ikishinda goli nne.
Yanga ikishinda magoli machache, wachambuzi uchwara wanasema imekwisha makali na ikishinda goli nyingi wanasema imenunua mechi. Wote wanasahau kuwa, katika mechi zote hizo Yanga wameonyesha uwezo mkubwa wa kucheza, kumiliki na kushambulia timu pinzani kupitiliza.

Shafii asisahau kuwa, wiki mbili zijazo Yanga itacheza na Simba na huenda kipigo kikarejewa upya.
 
shafii la 7. elimu hana kujenga hoja aujui,

kichwani empty, clouds wanaajili vibes tu. ila kichwani maji kubwaa maji kujaa.

wanaomfatilia nao kama vilaza
 
Kwani Rias wa Yanga ndo huwa anahusika na uratibishaji wa uwekezaji wa GSM upande wa michezo(Udhamini wa vilabu) .? Maana sote tunajua yeye ni mwajiriwa wa GSM.
Naam, hayo ndio majukumu yake kama Mkurugenzi wa uwekezaji (Michezo) pale GSM.
Lakini pia ndio Rais wa Yanga Afrika
 
shafii la 7. elimu hana kujenga hoja aujui,

kichwani empty, clouds wanaajili vibes tu. ila kichwani maji kubwaa maji kujaa.

wanaomfatilia nao kama vilaza
N8mesoma darasa mojana shafii IFM mwaka 2001-2004 hajui kiingereza ila akili anazo acha kumsingizia,na amecheza npira sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…