Maisha yake ni kuripoti habari ya michezo..ili auze lazima aende kwenye habari kubwa(Simba)..mbona hajabaki huku kwa Mkapa.Ndicho ninacholalamika hicho,hayupo hapo kwa nia nzuri ila ana mtandao mkubwa sana wa wapiga deal ndani ya simba ambao lengo lao ni barbara atoke kwa kuifelisha simba,huyo ni attacking dog wao ,inaboa sana
usilolijua sawa na usiku wa giza, abaki taifa kwa interests gani? washkaji zake waliobaniwa mianya ya utapeli na upigaji hapo simba wako angola,wao furaha yao ni simba kufungwa ili washabiki ambao ndiyo nguzo pekee ya Barabara ukitoa Mo dewji wacharukeMaisha yake ni kuripoti habari ya michezo..ili auze lazima aende kwenye habari kubwa(Simba)..mbona hajabaki huku kwa Mkapa.
Maelezo mengi..kwani anaingia kwenye pitch kucheza?usilolijua sawa na usiku wa giza, abaki taifa kwa interests gani? washkaji zake waliobaniwa mianya ya utapeli na upigaji hapo simba wako angola...
Huyu bwege si kafungiwa huyu au kufungiwa ni Manara tu?Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez anao maadui wa waziwazi wa Simba wako ndanindani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu...
Njaa kali kwanza kakahuyu jamaa ana roho mbaya sana akishirikiana na mshkaji wake ambaye simba wanamuona ni mwenzao yuko kwenye hiyo picha, hajaenda burebure kaenda kuharibu huyu ,wachezaji wajiongeze sasa kukaa naye mbali
Soma hizo comments za kwenye picha ni za insta au nenda page yake ya instagram ujioneee comments za hasiranjaakalihatari jamaa una chuki tu shafih sasa hapo anamfelisha vipi babra mzeee??? Ina maana anawaambia wachezani wacheze chini ya kiwango?? Acheni chuki zisizo na msingi mzeee .kama unamchikia shafih mchukie ww peke yako usilazimishe watu wengine wamchukie
Mababa ya ten pasenti yanatisha mnoo yako na kijana wao wa media wanayemtumia kumu attack barbara hadi lipstick yake inasimangwa na kanjanjaAfu CEO simuoni huko au amepigwa pin na hayo majamaa
Agh wapi wako radhi team iharibikiwe ili tumchukie barbaraSimba sio wajinga mipango Yao haivuji kizembe na tunamjua vizur yeye ni snitch
Una chuki binafsi na huyo jamaaHaki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez anao maadui wa waziwazi wa Simba wako ndanindani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza fake news za Simba left and right liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba linashirikishwa.
Kama tu Tabata lina kashfa ya kizembe ya fedha ndogo (milioni 20) za ubingwa wa Ndondo Cup kina Ali Kiba wakakataa proposal yake, sembuse de Agosto walitumie kufanya SABOTAGE KAMBINI HAPO?
CEO ana maadui wengi sana nje na ndani na hapo kwenye picha kuna rafiki yake mkubwa sana Shaffih eti naye ni mjumbe wa bodi.
Matumaini yamepungua sana nilipoona hii picha, wachezaji embu kwa leo na kesho kaeni mbali na hili jamaa hata mkono msilipe kabisa..agh inatia hasira sana.
View attachment 2380863
Basi tuko wengi zoom hiyo picha soma comments halafu nenda page yake ya instagram alipopost picha kahesabu wana simba wenye chuki naye kama utawamalizaUna chuki binafsi na huyo jamaa
hayo maoni yako kawaambie na hawa raia sababu wako wengi sana wenye maoni kama yangu kuhusu hilo li jamaanjaakalihatari jamaa una chuki tu shafih sasa hapo anamfelisha vipi babra mzeee??? Ina maana anawaambia wachezani wacheze chini ya kiwango?? Acheni chuki zisizo na msingi mzeee .kama unamchikia shafih mchukie ww peke yako usilazimishe watu wengine wamchukie
Unamaanisha anagongwa?
Shafii ni Simba uyo ata usiwe na waswas lunyasi kabisa uyo dam dam ndo maana hakuna mwenye waswas nae hapo,Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba linashirikishwa.
Kama tu Tabata lina kashfa ya kizembe ya fedha ndogo (milioni 20) za ubingwa wa Ndondo Cup, kina Ali Kiba wakakataa pendekezo lake, sembuse De Agosto walitumie kufanya hujuma kambini hapo?
CEO ana maadui wengi sana nje na ndani na hapo kwenye picha kuna rafiki yake mkubwa sana Shaffih, eti naye ni mjumbe wa bodi!
Matumaini yamepungua sana nilipoona hii picha, wachezaji embu kwa leo na kesho kaeni mbali na hili jamaa, hata mkono msilipe kabisa. Argh, inatia hasira sana.
View attachment 2380863
namjua vizuri sana tokaenzi hizo mwembamba anacheza ndondo za kukodiwa na nilikuwa namuona team ya mntaani kwetu mickocheni inaitwa mikovilla, najua hata alicheza simba ile mbovu ya 2001 ...zote hizo siyo sababu kwamba hana NIA OVUWengi mnapenda izi timu ila hamzifuatili kabisa ,,..
Shafii kashasave Hadi kwenye kamati ya usajili ya Simba enzi za nyange kaburu..
Wapiga kelele wengi kwenye mpira wetu driving force yao ni maslahi yao au ya watu flani wanaojificha nyuma yao kutetea maslahi yao ...
Shaffih (Simba was Lia Lia ) -kassim dewji Mambo ya jezi
Jemedari(yanga damu huyu) -
Mpinga Gsm,kuminywa maslahi binafsi ndani ya timu